Mbunge Hafidh Ali

Sonara

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2008
Posts
726
Reaction score
70
Mbunge mzee Hafidh Ali thabit alikuwa ni refarii wa mpira kwa mika mingi lakini kumekuwa na utata juu ya elimu yake.

Naomba kwa wale wenye kumuelewa tafadhalini tujulisheni elimu yake ya msingi hadi kufikia elimu ya juu wapi alipatia kumekuwa na maswali mengi kuhusiana na mbunge huyu inapokuja kuhusu elimu yake
 
nenda kwenye website ya bunge Bunge:: utapata taarifa zake zote za ulimu na mengineyo
 


EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Kombeni Primary School Primary Education 1959 1966 PRIMARY
Private Studies Secondary Education 1966 1972 SECONDARY
AKILI KICHWANI MWAKO??????
 
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Kombeni Primary School Primary Education 1959 1966 PRIMARY
Private Studies Secondary Education 1966 1972 SECONDARY
AKILI KICHWANI MWAKO??????

nimesoma profile yake lakini kuna utata ni wapi alichukulia hiyo private studies kuna mtu yoyote aliyesoma nae au kuelewa ni nchi gani au mahali gani kwani hapa hakutaja jina anichokiandika ni kusema amesoma private studies kutoka 1966- 1972 ukiangalia mika huyo ni baada ya mapinduzi ya zanzibar pia kumbukumbu zinaonesha Rais wa kwanza wa ZANZIBAR mara tu baada ya Mapinduzi aliweka shule zote kuwa za serekali na kuondosha za binafsi hapo ndio uata unazidi tunaomba kwa wale wenye kumuelewa au walio soma nae watupe maelezo zaid ni kwa maslahi ya wote na vizazi vijavyo katika nchi yetu ya TANZANIA
 

Mzee huelewi nini, jamaa alisomea nyumbani na hakufanya hata mtihani wa private studies...ni darasa la saba huyo! walau hajajipa PhD kama Nagu
 


Kwanini usimtafute mwenyewe ukamuuliza hii haitusaidii wangapi wana phd's na degree's na kazi yao kubwa wizi kaka vyeti haviongozi nenda Nigeria wanaongoza kwa wizi duniani na degree zao.muhimu hajatafuta vyeti feki hivyo tafadhali kama anavyijiheshimu na sisi tuwe waungwana tumuheshimu.

SAHIBU
 
Hivizile copa test za fifa alikuwaanafanyaje hasakwenye theory????nam maelezo ya wakufunzi wa fifa na caf??? Balaasana uswahilina kupiga domo kumemtoa...
 


Shahibu vipi Upo dhahiri hapa watu wanaongelea viongozi wa TANZANIA nothing to do with Nigeria wanageria wanaeleweka kwa Elimu yao hata wakoloni wetu waengereza wanalisema hilo kuwa hawa jamaa wanaelimu kubwa tuliwache hilo pili swali halikuja kuwa mtu anavunjiwa heshima ilikuwa ni kujuwa ukweli juu ya elimu yake umerukia mambo ya heshima unaishi ulimwengu Gani au unaishi ndani ya kukuland amka DADA/KAKA wakati wa uongozi wake waziri mkuu wa England tony alikuwa akisikikana kila mara akisema katika hutuba zake EDUCATION EDUCATION wewe unafikiri ni bure kuongelea kule au wewe ndio miongoni mwa wale ambao Mmesoma Hamkujuwa mkajifunza mkajuwa ???narudia swali Mbunge Hafidh Ali sidhani kama kweli amepata elimu ya secondary wacha tusubiri tuone wachangangia mada wengine nini wanakiona
 
Mhaya1:- Haka katoto kangu ka-Mugisha kamekuwa kabingwa ka kushughulikia magonjwa ambayo Madaktari yamewashinda.

Mhaya2:- (baada ya kitambo) ... Hivi ulisema katoto kako ka Mugisha kamekuwa ka Bingwa ka kushughulikia magonjwa yaliyoshindikana na Daktari siyo?

Mhaya 1:- Ndiyo, kalijisomea nyumbani na sasa kamekuwa kachimba MAKABURI.
 
Mzee huelewi nini, jamaa alisomea nyumbani na hakufanya hata mtihani wa private studies...ni darasa la saba huyo! walau hajajipa PhD kama Nagu

Mkuu nashukuru sana kwa "kunivunja mbavu"..... ama kweli duniani kuna mambo.....
 

Mkuu kama ni mbunge wananchi wake wameridhika nae ndio sababu wakamchagua.najaribu kukuonyesha kuwa hivyo vyeti haviongozi nchi.Matatizo yetu waafrika yanahitaji more than just education.I will tell you some of our leaders need a therapy they can just stop ufisadi/wizi.there is no education to help someone stop stealing.


SAHIBA.
 
Private studies, my foot! Anyway who are we to say 'private studies' is not enough wakati wapiga kura maelfu na ushee wamemkubali? Hongera zake, maana private studies imemfikisha alipo, wakina sie na vyeti vya sekondari hatuna pa kuanzia. Yote maisha!
 
 
kwaza jina lake kwa usahihi ni Hafidh Ali Tahir siyo Thabit, sijui kama tatizo la kuhoji elimu yake ni kwa kuwa yumo katika ile kamati ya bunge ya hesabu inayoongozwa na Mh. zito au vip?
 

Jibu lako hili hapa
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
Kombeni Primary School Primary Education 1959 1966 PRIMARY
Private Studies Secondary Education 1966 1972 SECONDARY

nimesoma profile yake lakini kuna utata ni wapi alichukulia hiyo private studies

Soma hapa chini
Mzee huelewi nini, jamaa alisomea nyumbani na hakufanya hata mtihani wa private studies...ni darasa la saba huyo!
 

Private ni Private na pia huyo Karume hakuwahi kuondosha masomo ya Private alichoondosha ni shule za kikabila. Hata hivy bora ungetueleza nini kafanya huyo mbunge kilicho nje ya sheria kwa kutumia hiyo Private.
 
Hivizile copa test za fifa alikuwaanafanyaje hasakwenye theory????nam maelezo ya wakufunzi wa fifa na caf??? Balaasana uswahilina kupiga domo kumemtoa...

Kama tatizo ni lugha basi hata maboi wa wazuingu wakati ule wakijua Kingereza na kama kuandika darasa la saba la wakati ule wakiandika vizuri kuliko baadhi yetu na digirii zetu za sasa.
 

Elimu ni muhimu lakini kwa kwetu bado hilo halijawa kigezo cha uongozi kwanza unaambiwa baada ya miaka ya mtu kutumia Shahada kuwa ni fake. Halafu Jamii yetu haijaliweka suala la elimu kama kigezo hasa cha uongozi kwani umesahau kuwa tumeshapata viongozi kwa michezo na burudani na Umc tu?
Nasikia kijana DJ amechukuwa urais Madagascar.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…