Private studies, my foot! Anyway who are we to say 'private studies' is not enough wakati wapiga kura maelfu na ushee wamemkubali? Hongera zake, maana private studies imemfikisha alipo, wakina sie na vyeti vya sekondari hatuna pa kuanzia. Yote maisha![/QUOT
Kama jina lilivyo Bimkubwa na hisi jina limekusibu na umekhafilika au ndio ubimkubwa umeshakukuta umeongela watu wake wamempigia kura ni sawa kama ndio ipo hivyo lakini jiulize jee mtu kama huyu anaweza kuwakilisha nchi katika mambo ya Kimtaifa??wacha nikupe mfano mdogo miaka ili ya mzee pius msekwa kulikuwa na mbunge mmoja ambae alitokea kuwa jeshi baadae akawa muigizaji wa vipindi vya TV kwa kuwa tu anachekesha watu akapatiwa ubunge ulikuwa wakati wa chama kimoja lakini mbuge yule hata darasa la kwaza hakuwahi kuingia ninachotaka kusema hapa wakati kina mzee pius wanaingia Bungeni wakiwa na suti huku wakitumia sentesi za kiengereza mbunge yule na wezake inakuwa ni sawa mbuzi kumpa gazeti alisome Mbunge mwenye alikuwa Akitwa FADAYU
Kwanza Fadayu hakuwa mbunge bali alikuwa mwakilishi kule Zenji.
Jambo la pili ni kuwa Bimkubwa akiongelea poit muhimu kuwa wewe ni nani wa kuwaamulia watu mtu wa kuwaaongoza? Iwapo wamemkubali na kumkubali huko hakutokani na kusema uwongo basi anafaa.
Hili suala la kukosa elimu na kuwakilisha kimataifa ni vitu viwlili tofauti juu ya ubunge. Mbunge kazi yake ni kuwakilisha matakwa ya watu wake katika Bunge na kazi za kuwakilisha nchi nje ya nchi hufanywa na watu maalum, kama mawaziri, wataalamu na maafisa waliotumwa kwa kazi hiyo na sio Wabunge. Sasa kwa hilo darasa lake la saba au hata kwa ule mfano wako wa Fadau(Marehemu) ndio atashindwa kusoma taarifa au Hansard za Bunge ambazo kwa kawaida huandikwa Kiswahili?