johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Anajikinga na nini...kule Moshi meya kakataza barakoa?Kiukweli sina mengi isipokuwa kumpongeza mbunge wa viti maalumu jimbo la Kawe kupitia Chadema mh Halima James Mdee kwa kutinga ndani ya ukumbi wa bunge akiwa amevalia barakoa usoni kama tahadhari ya Covid 19.
Ni jambo jema.
Maendeleo hayana vyama!
Dodoma siyo Moshi bwashee!Anajikinga na nini...kule Moshi meya kakataza barakoa?
Sawa....Anajikinga na nini....?Dodoma siyo Moshi bwashee!
Kwani wewe ni mjumbe pale Chadema?CHADEMA haina mbunge wa aina hiyo.
Maambukizi!Sawa....Anajikinga na nini....?
Barakoa huijui? Halima humjui?Picha tafadhali
Maambukizi ya ugonjwa gani....?Maambukizi!
Mafua!Maambukizi ya ugonjwa gani....?
Nani ana mafua huko bungeni kuweza kumwambukiza yeye lakini wengine wasiambukizwe....?Mafua!
Wamekata rufaa Baraza kuu la Chadema.Hivi hili sakata la hawa mabinti na chama liliishia wapi!? Mana kutokana na magumu ya maisha nilipitwa na kilele cha hili!! Mana CDM walikataaa hawakuwatuma, Mara Mwenyekiti anasema wamekinajisi chama!! Ila Mimi niliishia pale wanaelekea kuvuliwa uanachama!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tahadhari!Nani ana mafua huko bungeni kuweza kumwambukiza yeye lakini wengine wasiambukizwe....?