Mbunge Halima Mdee amevaa barakoa akiwa bungeni, ni jambo jema!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiukweli sina mengi isipokuwa kumpongeza mbunge wa viti maalumu jimbo la Kawe kupitia Chadema mh Halima James Mdee kwa kutinga ndani ya ukumbi wa bunge akiwa amevalia barakoa usoni kama tahadhari ya Covid 19.

Ni jambo jema.

Maendeleo hayana vyama!
 
Anajikinga na nini...kule Moshi meya kakataza barakoa?
 
Hivi hili sakata la hawa mabinti na chama liliishia wapi!? Mana kutokana na magumu ya maisha nilipitwa na kilele cha hili!! Mana CDM walikataaa hawakuwatuma, Mara Mwenyekiti anasema wamekinajisi chama!! Ila Mimi niliishia pale wanaelekea kuvuliwa uanachama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamekata rufaa Baraza kuu la Chadema.

Na mchezo umeishia hapo!
 
Back
Top Bottom