PreGE2025 Mbunge Hamida achangia 500,000/- kuboresha Ofisi ya Wafanyabiashara Soko la Sabasaba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mbunge wa Jimbo la Lindi Mjini,Hamida Mohammed Abdallah, leo Mei 7,2025 ametembelea eneo la soko la muda lililopo katika Kata ya Msanjihili, Mtaa wa Bank maarufu kama "Sabasaba" ambalo litakalotumika kwa muda na wafanyabiashara wa Soko Kuu la Lindi ili kupisha ujenzi wa soko jipya la kisasa la Lindi.

Mbunge Hamida amepata fursa ya kuzungumza na baadhi ya wafanyabiashara watakaohamia katika eneo hilo, kuwasikiliza changamoto zao na kuwahakikishia kuwa serikali ipo pamoja nao katika kuhakikisha shughuli zao za kiuchumi haziathiriki wakati wa kipindi cha mpito.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Katika hatua ya kuunga mkono jitihada za wafanyabiashara hao, Mbunge Hamida ametoa mchango wa shilingi laki tano (500,000/=) taslimu kwa ajili ya kuboresha ofisi ya uongozi wa wafanyabiashara katika soko hilo la muda.

Screenshot 2025-05-07 220740.png
 
Laki tano kwa Mbunge mbona ni hela ndogo sana . Ingetolewa kimya kimya
 
Mbunge wa Jimbo la Lindi Mjini,Hamida Mohammed Abdallah, leo Mei 7,2025 ametembelea eneo la soko la muda lililopo katika Kata ya Msanjihili, Mtaa wa Bank maarufu kama "Sabasaba" ambalo litakalotumika kwa muda na wafanyabiashara wa Soko Kuu la Lindi ili kupisha ujenzi wa soko jipya la kisasa la Lindi.

Mbunge Hamida amepata fursa ya kuzungumza na baadhi ya wafanyabiashara watakaohamia katika eneo hilo, kuwasikiliza changamoto zao na kuwahakikishia kuwa serikali ipo pamoja nao katika kuhakikisha shughuli zao za kiuchumi haziathiriki wakati wa kipindi cha mpito.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Katika hatua ya kuunga mkono jitihada za wafanyabiashara hao, Mbunge Hamida ametoa mchango wa shilingi laki tano (500,000/=) taslimu kwa ajili ya kuboresha ofisi ya uongozi wa wafanyabiashara katika soko hilo la muda.

View attachment 3327288
well done mh mbunge🐒
 
Back
Top Bottom