Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Mbunge wa Lindi Mjini, Hamida Abdallah amemuomba Waziri wa NIshati, January Makamba na Serikali kwa ujumla kushusha kodi zilizopo kwenye vifaa na gesi ya matumizi ya kupikia majumbani ili wananchi waweze kupata unafuu wa kununua gesi na kuondokana na matumizi ya nishati inayo angamiza mazingira ya nchi.
Hamida amesema hayo Jumatano Mei 31, 2023 wakati alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2023/2024, bungeni jijini Dodoma.
Hamida amesema hayo Jumatano Mei 31, 2023 wakati alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2023/2024, bungeni jijini Dodoma.