Mbunge Hawa Mchafu kuwainua vijana kiuchumi, UWT-Pwani

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Hawa Mchafu amewakabidhi Mashine ya kufyatulia Tofali vijana ili kuwainua kiuchumi vijana wa Kikundi cha Wazalendo wanaoishi Kata ya Mtongani, Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani.

Vijana wa Kata ya Mtongani Wilaya ya Kibaha Vijijini Mkoa wa Pwani wamempatia zawadi ya pongezi Mhe. Hawa Mchafu kwa namna anavyoshirikiana na Vijana wa Mkoa wa Pwani katika kuwainua kiuchumi.

"Hakuna kitakachosimama ndani ya Mkoa wa Pwani"

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…