- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,072
- 10,514
Sababu ni moja tu, Wakenya wamejaa TZ and we live like brothers and sisters bila shida.
Wakenya walioko TZ ni wengi kuliko WaTZ walioko Kenya.
By the way, we're neighbours na kuna baadhi ya makabila yanaingiliana. Kufukuzana ni upumbavu.
Hamjawafukuza Wasomali wanaowaua kila siku via Al-shabab, iweje muwafukuze WaTz waliokaa kihalali na kwa amani?