Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mheshimiwa Jesca Kishoa, ameonesha kuguswa na changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa Kata ya Mwanga, Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida, kufuatia ziara yake ya kuwatembelea na kusikiliza matatizo yao.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katika ziara hiyo ya tarehe 05 Aprili 2025, Mheshimiwa Kishoa ametembelea Shule ya Sekondari Mwanga ambayo inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji safi.