Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Akichangia hoja katika uchambuzi wa Bajeti Kuu leo Bungeni, Mbunge wa Iringa Mjini amesisitiza kuwa Sheria zinazokandamiza Sekta binafsi ikiwemo Sheria iliyoundwa kudhibiti maduka ya kubadilisha fedha za kigeni ziondolewe ili kuimarisha sekta hiyo
Amesema kuwa sheria hiyo inazuia wafanyabiashara kufungua Bereau De Change hivyo inakandamiza juhudi za kukuza utalii, kutoa ajira na haitambui mchango wa Rais wa kutangaza utalii wa nchi
Amesema kuwa sheria hiyo inazuia wafanyabiashara kufungua Bereau De Change hivyo inakandamiza juhudi za kukuza utalii, kutoa ajira na haitambui mchango wa Rais wa kutangaza utalii wa nchi