Mkanda wape wape haoBro naona wewe biashara kubwa zimekupitia kwa mbali.
Kwanza unapokopa kumbuka zile si fedha za benki, ni fedha za wateja wengine walioiamini benki kuwatunzia fedha zao.
Mteja anapodefault mkopo, kwanza unaitwa for rescheduling ya repayment, na interests juu.
Ikumbukwe kuwa compound interests sasa zinakuwa mzigo mkubwa maana inafika mahali mkopaji ni kama analipia hewa, ila hayo ndo makubaliano na benki.
Ikiwa bado mkopaji anashindwa kulipa mkopo, HAKUNA SIRI TENA!
Hapo unapewa Public Notice kama hiyo aliyopewa Msukuma.
Na bado mteja akishindwa kulipa, moja kwa moja mteja anpelekwa mahakamani ili idhini ya kuuza dhamana ipatikane.
Kukopa ni siri ya watu wawili, ukishindwa kulipa si siri tena.
Watu wakimuona mtu kakomaa mjini wajue kakwepa mishale mingi
Ila muonye huyo Msukuma biashara na ulongo ulongo mwisho pia chini
Yule Dr Manguruwe laishia wapi?