Mbunge Joseph Mhagama: Barabara ya Makambako – Songea imeharibika vibaya, lini Serikali itasikia kilio chetu?

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760

Mbunge wa Jimbo la Madaba, Joseph Mhagama amesema Wananchi wa Jimbo hilo na wengine wa maeneo ya Jirani pamoja na wengine wanaotumia Barabara ya Makambako kuelekea Songea yenye urefu wa Kilometa 296.

Amesema Barabara hiyo imebomoka vibaya na inahatarisha watumiaji wa vyombo pamoja na wanaotembea kwa miguu.
 
Malori ya Makaa ya mawe toka Kenya ni chanzo kikubwa cha uharibifu huu. TANROADS walipaswa kuliona hili mapema na kuweka mipango hususa sio kusubiri hadi athari za uharibifu zitokee. Tufikie mahali viongozi wawe na uwezo wa kuona mbele na kuwa pro-active, sio kuwa watu wa routine management
 
Unaweza kuwa sahihi, lakini uchakavu/uharibifu mwingine unaweza kusababishwa na umri wa barabara.

Imejengwa mkuu wa nchi akiwa Nyerere, isingedumu milele bila uchakavu.
 
Mbunge wa Jimbo la Madaba, Joseph Mhagama amesema Wananchi wa Jimbo hilo na wengine wa maeneo ya Jirani pamoja na wengine wanaotumia Barabara ya Makambako kuelekea Songea yenye urefu wa Kilometa 296.

Amesema Barabara hiyo imebomoka vibaya na inahatarisha watumiaji wa vyombo pamoja na wanaotembea kwa miguu.
Ilijengwa na waingereza 1980 - 1984 imedumu miaka 40 wakati barabara za wachina hazikai hata miaka 15
 
Barabara ilijengwa na Mowlem, moja ya makampuni makubwa ya ujenzi duniani miaka hiyo.

Hata kampuni hiyo haipo tena baada ya kutamba zaidi ya mika 180 kwenye industry ya ujenzi.
 
Makambako - Njombe - Songea Road Project ilijengwa na Balfour Beaty kampuni ya waingereza siyo Mowlem
Hao Mowlem unaosema walijenga Mgololo Paper Mills SPM na Chuo cha Bank Iringa kama sikosei sana
 
Back
Top Bottom