Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Unaweza kuwa sahihi, lakini uchakavu/uharibifu mwingine unaweza kusababishwa na umri wa barabara.Malori ya Makaa ya mawe toka Kenya ni chanzo kikubwa cha uharibifu huu. TANROADS walipaswa kuliona hili mapema na kuweka mipango hususa sio kusubiri hadi athari za uharibifu zitokee. Tufikie mahali viongozi wawe na uwezo wa kuona mbele na kuwa pro-active, sio kuwa watu wa routine management
Ilijengwa na waingereza 1980 - 1984 imedumu miaka 40 wakati barabara za wachina hazikai hata miaka 15
Mbunge wa Jimbo la Madaba, Joseph Mhagama amesema Wananchi wa Jimbo hilo na wengine wa maeneo ya Jirani pamoja na wengine wanaotumia Barabara ya Makambako kuelekea Songea yenye urefu wa Kilometa 296.
Amesema Barabara hiyo imebomoka vibaya na inahatarisha watumiaji wa vyombo pamoja na wanaotembea kwa miguu.
Barabara ilijengwa na Mowlem, moja ya makampuni makubwa ya ujenzi duniani miaka hiyo.Ilijengwa na waingereza 1980 - 1984 imedumu miaka 40 wakati barabara za wachina hazikai hata miaka 15
Makambako - Njombe - Songea Road Project ilijengwa na Balfour Beaty kampuni ya waingereza siyo MowlemBarabara ilijengwa na Mowlem, moja ya makampuni makubwa ya ujenzi duniani miaka hiyo.
Hata kampuni hiyo haipo tena baada ya kutamba zaidi ya mika 180 kwenye industry ya ujenzi.