Mbunge Juliana Shonza Akabidhi Milioni 3 kwa Vikundi vya Ujasiriamali

Mbunge Juliana Shonza Akabidhi Milioni 3 kwa Vikundi vya Ujasiriamali

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara yake Kata kwa Kata huku akifanya Mikutano ya hadhara kwa lengo la kuelezea kwa wananchi utekelezaji wa Ilani ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

Mhe. Juliana Shonza katika Kata ya Magamba amehutubia mkutano wa hadhara kuelezea utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 na kuchangia vikundi vya akina Mama wajasiriamali Shilingi Milioni 3,000,000 ambapo kila kikundi kimepata Shilingi 300,000.

WhatsApp Image 2023-07-18 at 09.46.43.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-18 at 09.46.45(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-07-18 at 09.46.44.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-18 at 09.46.45.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-18 at 09.46.47.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-18 at 09.46.47(1).jpeg
 
Mbona kwenye msiba wa shemeji yake kule Geita ( GGM) hakufika wala kutoa rambirambi?
Au alishiriki kwa siri?
 
Back
Top Bottom