Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Mbunge wa Viti Maalum Wanawake (UWT) Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Daniel Shonza ametoa Tracks Sut 64 na Pedi 128 zenye thamani ya Milioni 1,600,000 kwa Wanafunzi wakike 64 waliounguliwa na Bweni Shule ya Sekondari Vwawa.
Mhe. Shonza amesema yeye Kama Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe anao wajibu wa kuhakikisha mabinti wanaendelea na masomo ikizingatia wapo katika mitihani
Shonza amemshukuru Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Ester Mahawe kwakuchukua hatua za makusudi na za haraka kwa kuhakikisha mabinti wanapata Magodoro wakati hatua zingine zikiendelea kuchukuliwa.