Mbunge Kandege adai makato ya miamala ya fedha ni makubwa

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966

Mbunge wa jimbo la Kalambo (CCM) Mheshimiwa Sinkamba Josephat Kandege akichangia kwenye uwasilishaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya fedha kwa mwaka 2025 - 2026 amelalamikia kuhusu makato kuwa makubwa kwenye miamala ya fedha.​
 
amekuwa mbunge jana? au leo asubuhi ndiyo kaanza kumiliki laini za mitandao ya simu hapa tanzania?
 
june-oktoba 2025!!?? kuna kosa au wewe mzalendo hulioni?
Hana kosa ila mwananchi mjinga ndio mwenye kosa kama atampa kura Kwa kuongelewa swala la miamala tu bila maendeleo mengine wewe mwananchi ndio mjinga ukimpa kura Kwa kigezo hicho ila yeye Hana kosa kafikisha ujumbe
 
View attachment 3355887

Mbunge wa jimbo la Kalambo (CCM) Mheshimiwa Sinkamba Josephat Kandege akichangia kwenye uwasilishaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya fedha kwa mwaka 2025 - 2026 amelalamikia kuhusu makato kuwa makubwa kwenye miamala ya fedha.​
Anakumbuka Leo??? Siku zote tunakamuliwa alikuwa wapi?
 
View attachment 3355887

Mbunge wa jimbo la Kalambo (CCM) Mheshimiwa Sinkamba Josephat Kandege akichangia kwenye uwasilishaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya fedha kwa mwaka 2025 - 2026 amelalamikia kuhusu makato kuwa makubwa kwenye miamala ya fedha.​
Wakati wakuyapitisha hakuona,ila kwa kuwa anahisi kiinua mgongo kitakumbana na huo ujambazi na muda wake umekwisha anakumbuka hilo leo?Hiyo haina tofauti na kukumbuka shuka alfajiri ya baridi kali na shuka halipo.
 
Ngoja nitumie akili mnembe kumjibu mbunge ili sheria isinibane
 
Back
Top Bottom