Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
kimemlamba!..😂amekuwa mbunge jana? au leo asubuhi ndiyo kaanza kumiliki laini za mitandao ya simu hapa tanzania?
Mkuu, naelewa unachomaanisha.amekuwa mbunge jana? au leo asubuhi ndiyo kaanza kumiliki laini za mitandao ya simu hapa tanzania?
june-oktoba 2025!!?? kuna kosa au wewe mzalendo hulioni?Mkuu, naelewa unachomaanisha.
Lakini kuna kosa kama ameamua kulizungumzia leo?
Hana kosa ila mwananchi mjinga ndio mwenye kosa kama atampa kura Kwa kuongelewa swala la miamala tu bila maendeleo mengine wewe mwananchi ndio mjinga ukimpa kura Kwa kigezo hicho ila yeye Hana kosa kafikisha ujumbejune-oktoba 2025!!?? kuna kosa au wewe mzalendo hulioni?
KitakufilisiYaani sijui nawaza nini...akili ikanipeleka kwenye Kindege.gladiator
Nilishaachana nacho kilinilia afu 10 yangu nilimaind sanaKitakufilisi
Anakumbuka Leo??? Siku zote tunakamuliwa alikuwa wapi?View attachment 3355887
Mbunge wa jimbo la Kalambo (CCM) Mheshimiwa Sinkamba Josephat Kandege akichangia kwenye uwasilishaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya fedha kwa mwaka 2025 - 2026 amelalamikia kuhusu makato kuwa makubwa kwenye miamala ya fedha.
Pole ndo ukubwaNilishaachana nacho kilinilia afu 10 yangu nilimaind sana
Wakati wakuyapitisha hakuona,ila kwa kuwa anahisi kiinua mgongo kitakumbana na huo ujambazi na muda wake umekwisha anakumbuka hilo leo?Hiyo haina tofauti na kukumbuka shuka alfajiri ya baridi kali na shuka halipo.View attachment 3355887
Mbunge wa jimbo la Kalambo (CCM) Mheshimiwa Sinkamba Josephat Kandege akichangia kwenye uwasilishaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya fedha kwa mwaka 2025 - 2026 amelalamikia kuhusu makato kuwa makubwa kwenye miamala ya fedha.