Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,430
Zote?![emoji44]Serikali hii inayouza BANDARI zote!!
Bwabwaja tu....serikali hii ya majizi? anaewaamini ccm akapimwe akili
Serikali inasimamia usalama wako..... bado huiamini [emoji44][emoji44]Imani inajengwa na serikali iliyo madarakani kwa wananchi, sio kulazishwa
Leo PhD ya heshima, serikali yote , wasanii wanajazana India, hii kwangu ni mpya,
Mikata inaingiwa ya ajabu,
Viongozi wajiongezea posho ,mishahara, wananchi hoi, mkiwambia wajiajiri , iyo imani kwa serikali inatoka wapi?
Na kweli wewe kwani ni mwendawazimu wa kutoona hayo mazuri? [emoji44][emoji1787]Labda uwe mwendawazimu.
Azory Gwanda, Ben Saana8 wako wapi? Waliotaka kumuua Lissu ni akina nani? Tuna serikali au genge la wahuni? Watu wanaumizwa kwenye Nchi yao kama wanyama halafu unaleta ufala hapa[emoji22]Serikali inasimamia usalama wako..... bado huiamini [emoji44][emoji44]
Serikali ilikufukuzia magaidi wa Kibiti ili unywe kahawa na kukaa VITI VIREFU kwa amani....bado huiamini...[emoji44][emoji44]
Imekujengea barabara kwa kodi zetu sote ukazitumia barabara hizo.. bado huiamini [emoji44][emoji44]
Huo ni wajibu sio hisani. Tuamini majizi kivipi?Serikali inasimamia usalama wako..... bado huiamini [emoji44][emoji44]
Serikali ilikufukuzia magaidi wa Kibiti ili unywe kahawa na kukaa VITI VIREFU kwa amani....bado huiamini...[emoji44][emoji44]
Imekujengea barabara kwa kodi zetu sote ukazitumia barabara hizo.. bado huiamini [emoji44][emoji44]
Tatizo la hawa watu siku hizi ni kupandia kwenye majina ya wengine waliowahi kuwa watu wa kuheshimika katika jamii.Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilayani Chunya amesema, Wilaya ya Chunya imetengewa fedha zaidi ya shilingi milioni 800 kwa ajili ya kununua vifaa tiba kwa mwaka wa fedha 2023/2024 na kuahidi zahanati ya Kijiji cha Nkwangu kata ya Upendo kuwa mmoja wa wanufaika wa vifaa hivyo ili kusogeza huduma za kiafya karibu na maeneo yao.
Kinacho jenga imani ya wanachi ni matendo ya haki na usawa ..... siyo matamshi ...... hawa watu wakisha Shiba maharage wanakosaga la kusema [emoji706][emoji706][emoji706]Mbunge wa Jimbo la Lupa wilayani Chunya, mkoani Mbeya, Mhe. Masache Njeru Kasaka amewataka wananchi wa Jimbo hilo kuiamini Serikali Kwa kuwa imeendelea kutekeleza ahadi mbalimbali zilizoahidiwa mwaka 2020
Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilayani Chunya amesema, Wilaya ya Chunya imetengewa fedha zaidi ya shilingi milioni 800 kwa ajili ya kununua vifaa tiba kwa mwaka wa fedha 2023/2024 na kuahidi zahanati ya Kijiji cha Nkwangu kata ya Upendo kuwa mmoja wa wanufaika wa vifaa hivyo ili kusogeza huduma za kiafya karibu na maeneo yao.
"Mimi na viongozi wenzangu hatujawaangusha na hatutawaangusha maana tukiwaangusha maana yake tumemwangusha Mhe. Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, jambo ambalo sisi watumishi wenu mliotutuma kuwasemeeni maeneo mbalimbali hatuwezi kufanya hivyo maana hata ninyi ni mashahidi kwamba ahadi tulizo ahidi tunaendelea kuzitekeleza" - Mhe. Masache Kasaka, Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilayani Chunya.
Mbunge wa Jimbo la Lupa wilayani Chunya Mhe. Masache Kasaka, amewataka wananchi wa Jimbo la Lupa kuendelea kuiamini Serikali anayosema imeendelea kutekeleza ahadi mbalimbali zilizoahidiwa mwaka 2020 kupitia ilani ya CCM ikiwemo ujenzi wa zahanati, uboreshaji sekta ya elimu na miundombinu ya barabara.
Hawa kenge magamba, wakisha Shiba, wanaiona serikali kama vatican ya Roman Catholic, wajenge Imani, serikali imekuwa taasisi ya kidini,kanisa, au dhehebu, Dini?
MBUNGE KASAKA: JENGENI IMANI NA SERIKALI ILIYOKO MADARAKANI
Mbunge wa Jimbo la Lupa wilayani Chunya, mkoani Mbeya, Mhe. Masache Njeru Kasaka amewataka wananchi wa Jimbo hilo kuiamini Serikali Kwa kuwa imeendelea kutekeleza ahadi mbalimbali zilizoahidiwa mwaka 2020
View attachment 2778839
Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilayani Chunya amesema, Wilaya ya Chunya imetengewa fedha zaidi ya shilingi milioni 800 kwa ajili ya kununua vifaa tiba kwa mwaka wa fedha 2023/2024 na kuahidi zahanati ya Kijiji cha Nkwangu kata ya Upendo kuwa mmoja wa wanufaika wa vifaa hivyo ili kusogeza huduma za kiafya karibu na maeneo yao.
View attachment 2778841
"Mimi na viongozi wenzangu hatujawaangusha na hatutawaangusha maana tukiwaangusha maana yake tumemwangusha Mhe. Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, jambo ambalo sisi watumishi wenu mliotutuma kuwasemeeni maeneo mbalimbali hatuwezi kufanya hivyo maana hata ninyi ni mashahidi kwamba ahadi tulizo ahidi tunaendelea kuzitekeleza" - Mhe. Masache Kasaka, Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilayani Chunya.
View attachment 2778843