Mbunge Kasaka: Jengeni Imani na Serikali Iliyopo Madarakani

Mbunge wa Jimbo la Lupa wilayani Chunya, mkoani Mbeya, Mhe. Masache Njeru Kasaka amewataka wananchi wa Jimbo hilo kuiamini Serikali Kwa kuwa imeendelea kutekeleza ahadi mbalimbali zilizoahidiwa mwaka 2020

Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilayani Chunya amesema, Wilaya ya Chunya imetengewa fedha zaidi ya shilingi milioni 800 kwa ajili ya kununua vifaa tiba kwa mwaka wa fedha 2023/2024 na kuahidi zahanati ya Kijiji cha Nkwangu kata ya Upendo kuwa mmoja wa wanufaika wa vifaa hivyo ili kusogeza huduma za kiafya karibu na maeneo yao.

"Mimi na viongozi wenzangu hatujawaangusha na hatutawaangusha maana tukiwaangusha maana yake tumemwangusha Mhe. Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, jambo ambalo sisi watumishi wenu mliotutuma kuwasemeeni maeneo mbalimbali hatuwezi kufanya hivyo maana hata ninyi ni mashahidi kwamba ahadi tulizo ahidi tunaendelea kuzitekeleza" - Mhe. Masache Kasaka, Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilayani Chunya.

Mbunge wa Jimbo la Lupa wilayani Chunya Mhe. Masache Kasaka, amewataka wananchi wa Jimbo la Lupa kuendelea kuiamini Serikali anayosema imeendelea kutekeleza ahadi mbalimbali zilizoahidiwa mwaka 2020 kupitia ilani ya CCM ikiwemo ujenzi wa zahanati, uboreshaji sekta ya elimu na miundombinu ya barabara.
Mtu akishaashiba huko anajua kila mtu ameshiba hapa tulipo hatuna umeme hiyo imani inajengwa wapi
 
Imani inajengwa na serikali iliyo madarakani kwa wananchi, sio kulazishwa

Leo PhD ya heshima, serikali yote , wasanii wanajazana India, hii kwangu ni mpya,

Mikata inaingiwa ya ajabu,

Viongozi wajiongezea posho ,mishahara, wananchi hoi, mkiwambia wajiajiri , iyo imani kwa serikali inatoka wapi?
Absolutely, umemaliza kila kitu.
 
Mbunge wa Jimbo la Lupa wilayani Chunya, mkoani Mbeya, Mhe. Masache Njeru Kasaka amewataka wananchi wa Jimbo hilo kuiamini Serikali Kwa kuwa imeendelea kutekeleza ahadi mbalimbali zilizoahidiwa mwaka 2020

Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilayani Chunya amesema, Wilaya ya Chunya imetengewa fedha zaidi ya shilingi milioni 800 kwa ajili ya kununua vifaa tiba kwa mwaka wa fedha 2023/2024 na kuahidi zahanati ya Kijiji cha Nkwangu kata ya Upendo kuwa mmoja wa wanufaika wa vifaa hivyo ili kusogeza huduma za kiafya karibu na maeneo yao.

"Mimi na viongozi wenzangu hatujawaangusha na hatutawaangusha maana tukiwaangusha maana yake tumemwangusha Mhe. Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, jambo ambalo sisi watumishi wenu mliotutuma kuwasemeeni maeneo mbalimbali hatuwezi kufanya hivyo maana hata ninyi ni mashahidi kwamba ahadi tulizo ahidi tunaendelea kuzitekeleza" - Mhe. Masache Kasaka, Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilayani Chunya.

Mbunge wa Jimbo la Lupa wilayani Chunya Mhe. Masache Kasaka, amewataka wananchi wa Jimbo la Lupa kuendelea kuiamini Serikali anayosema imeendelea kutekeleza ahadi mbalimbali zilizoahidiwa mwaka 2020 kupitia ilani ya CCM ikiwemo ujenzi wa zahanati, uboreshaji sekta ya elimu na miundombinu ya barabara.
[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Mtoto wa Njelu Kasaka huyu bila shaka,kachukua Jimbo la Baba,kumbe Mwambalaswa alipigwagwa chini hilo Jimbo duuuh
 
Mpumbavu mwingine wa CCM akiinyesha upumbavu wake!
 
Mbunge wa Jimbo la Lupa wilayani Chunya, mkoani Mbeya, Mhe. Masache Njeru Kasaka amewataka wananchi wa Jimbo hilo kuiamini Serikali Kwa kuwa imeendelea kutekeleza ahadi mbalimbali zilizoahidiwa mwaka 2020

Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilayani Chunya amesema, Wilaya ya Chunya imetengewa fedha zaidi ya shilingi milioni 800 kwa ajili ya kununua vifaa tiba kwa mwaka wa fedha 2023/2024 na kuahidi zahanati ya Kijiji cha Nkwangu kata ya Upendo kuwa mmoja wa wanufaika wa vifaa hivyo ili kusogeza huduma za kiafya karibu na maeneo yao.

"Mimi na viongozi wenzangu hatujawaangusha na hatutawaangusha maana tukiwaangusha maana yake tumemwangusha Mhe. Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, jambo ambalo sisi watumishi wenu mliotutuma kuwasemeeni maeneo mbalimbali hatuwezi kufanya hivyo maana hata ninyi ni mashahidi kwamba ahadi tulizo ahidi tunaendelea kuzitekeleza" - Mhe. Masache Kasaka, Mbunge wa Jimbo la Lupa Wilayani Chunya.

Mbunge wa Jimbo la Lupa wilayani Chunya Mhe. Masache Kasaka, amewataka wananchi wa Jimbo la Lupa kuendelea kuiamini Serikali anayosema imeendelea kutekeleza ahadi mbalimbali zilizoahidiwa mwaka 2020 kupitia ilani ya CCM ikiwemo ujenzi wa zahanati, uboreshaji sekta ya elimu na miundombinu ya barabara.
Kumbe hili nalo tunatakiwa kuambiwa? Mi sikujua
 
Hivi kweli tuiamini ccm kweli? ngumu sana!
Mnauza khadi urithi wa asili na bado mnakuwa waongo kiasi hicho!
 
Serikali inasimamia usalama wako..... bado huiamini [emoji44][emoji44]

Serikali ilikufukuzia magaidi wa Kibiti ili unywe kahawa na kukaa VITI VIREFU kwa amani....bado huiamini...[emoji44][emoji44]

Imekujengea barabara kwa kodi zetu sote ukazitumia barabara hizo.. bado huiamini [emoji44][emoji44]
Hapo ndio mwisho wako wa kufikiri au??
 
Back
Top Bottom