Mbunge Katani: Mwigulu umetutukana wabunge

Mbunge Katani: Mwigulu umetutukana wabunge

Ni kweli lakini hata yeye akiwepo hawezi kujitoa tena kama Mwigulu akawa mganga huyo atakuwa ni wale walozi wanaouwa watu.

Mtu kama Musukuma na Babu Tale umwambie habari za uchumi atajua hata unachozungumza?wabunge wengi wapo kungoja kula mishahara na posho na kwenda kudanganya wananchi maskini kwenye majimbo yao kipindi cha uchaguzi tu hakuna wakijuacho.
 
Mbunge wa Tandahimba, Katani amezungumza bungeni jioni hii akimlalamikia Waziri wa Fedha kwa kuwatukana wabunge kwamba kazi wanayoiweza ni uganga wa kienyeji na wala sio mambo ya uchumi.

WABUNGE HAMNA CHA KUMFANYA MWIGULU HUYO NI MWAMBA
 
Ndiyo. Mwigulu kawatukana wabunge na wanastahili kutukanwa. Watamfanya nn Sasa?

Wabunge wenyewe ni vilaza walioingizwa bungeni kwa nguvu ya dikteta Magufuli.
 
Napata raha sana hawa wapuuzi wakiumana
 
Attachments

  • FB_IMG_1616545580714.jpg
    FB_IMG_1616545580714.jpg
    90.9 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1626856519720.jpg
    FB_IMG_1626856519720.jpg
    59.9 KB · Views: 1
Ni kweli lakini hata yeye akiwepo hawezi kujitoa tena kama mwigulu akawa mganga huyo atakuwa ni wale walozi wanaouwa watu.

Mtu kama Musukuma na Babu Tale umwambie habari za uchumi atajua hata unachozungumza?wabunge wengi wapo kungoja kula mishahara na posho na kwenda kudanganya wananchi maskini kwenye majimbo yao kipindi cha uchaguzi tu hakuna wakijuacho.
Amewezaje kuwa bilionea kabla ya ubunge(real capitalist)
Na huyo mwigulu nje ya uteuzi hana chochote(beurocratic capitalist).
 
Mbunge wa Tandahimba, Katani amezungumza bungeni jioni hii akimlalamikia Waziri wa Fedha kwa kuwatukana wabunge kwamba kazi wanayoiweza ni uganga wa kienyeji na wala sio mambo ya uchumi.

Kama amewatukana tuu mbona Jambo dogo. Ninyi hamna hadhi ya kuwa wabunge hamkuchaguliwa.Mlitakiwa mnyukwe fimbo na vibao kwa kupoteza pesa za walipa Kodi ktk kikao haramu. Hilo sio bunge ni genge la wanyang'anyi na matapeli limekutana kuhadaa umma.
 
Mbunge wa Tandahimba, Katani amezungumza bungeni jioni hii akimlalamikia Waziri wa Fedha kwa kuwatukana wabunge kwamba kazi wanayoiweza ni uganga wa kienyeji na wala sio mambo ya uchumi.

Mungu tusaidie!
 
Yuko sahihi kbs , hv Livingston Lusinde ( kibajaji ) anaweza kuchambua bajeti ?? Babu Tale anajua nn kuhusu uchumi?? ...king msukuma wapi na wp kuhusu masuala ya uchumi?? . .. je yule mbunge wa Tanga ambaye ni mganga wa kienyeji hata kuandika jina lake tu hawezi, anawezaje kuchambua masuala ya uchumi ?!? Hata Gwajima na uchumi wp na wp ??? [emoji28][emoji28][emoji28] Alaaniwe aliyewapeleka bungeni 2020

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Mbunge wa Tandahimba, Katani amezungumza bungeni jioni hii akimlalamikia Waziri wa Fedha kwa kuwatukana wabunge kwamba kazi wanayoiweza ni uganga wa kienyeji na wala sio mambo ya uchumi.

Kwani uongo?
 
Back
Top Bottom