Mbunge Katani: Mwigulu umetutukana wabunge

Mbunge Katani: Mwigulu umetutukana wabunge

Wanasiasa, waganga, walozi, wasomi, viongozi wa dini, wananchi wa kawaida wengi wanategemea nguvu za giza!!
Hii ajenda inazidi kuthibitisha kwamba Mwigulu hafai kuwa kiongozi!❌❌❌
 
Aaida khenan? Maana huyu mwanamama yeye mlisema sio covid 19 na Wala hamjawahi kumuita kwenye kamati ya chama Wala kumfukuza

Hiyo siyo mbunge wa CHADEMA. Ni mbunge wa Magufuli. Aliamua wanawake wawili tu ndio wawe wabunge bara kwa upinzani. Anawajibika kwa Magufuli ndio maana CHADEMA hawana muda naye wamemuacha hajijui yupo wapi, alitegemea kiki kutoka CHADEMA, na CHADEMA wakamjua wakamuacha pekee yake. Mnafanya ujinga ili kesho muilzimishe CHADEMA kwenye ujinga wenu.
 
Back
Top Bottom