Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Yule mbunge wa nkasi ni wa Chama gani? Au mnaona aibu wanaume mmeshindwa na mwanamke?
Yule mbunge wa nkasi ni wa Chama gani? Au mnaona aibu wanaume mmeshindwa na mwanamke?
Kadhalika chadema
Aaida khenan? Maana huyu mwanamama yeye mlisema sio covid 19 na Wala hamjawahi kumuita kwenye kamati ya chama Wala kumfukuza
Mbunge wa Nkasi ni wa chama gani?