Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hivi yuko chama gani?Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Jesca David Kishoa, amepinga vikali kampeni ya NO REFORM NO ELECTION inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambacho kinapinga kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 hadi pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Mhe. Kishoa ametoa kauli hiyo Aprili 5, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Mwanga, Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida. Amesema kuwa kwa kuzingatia maandalizi na uimara wa vyombo vya ulinzi na usalama, hakuna atakayefanikiwa kuzuia uchaguzi huo kufanyika kama ulivyopangwa.
"Kwa jeshi hili tulilonalo la ulinzi na usalama, kuna mtu anaweza kuzuia uchaguzi huu? Jeshi limejipanga kikamilifu na lipo imara. Nawashukuru sana viongozi wa Jeshi la Polisi kwa maandalizi yao," amesema Kishoa.
Aidha, ameongeza kuwa ana imani kubwa kuwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mkoa wa Singida, hususan Wilaya ya Mkalama, utampatia Rais Samia Suluhu Hassan kura nyingi kutokana na kazi kubwa na nzuri aliyoifanya nchini.
View attachment 3294498
Tundu Lissu endeleza kiberiti Kichaka kiteketeeeMbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Jesca David Kishoa, amepinga vikali kampeni ya NO REFORM NO ELECTION inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambacho kinapinga kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 hadi pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Mhe. Kishoa ametoa kauli hiyo Aprili 5, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata ya Mwanga, Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida. Amesema kuwa kwa kuzingatia maandalizi na uimara wa vyombo vya ulinzi na usalama, hakuna atakayefanikiwa kuzuia uchaguzi huo kufanyika kama ulivyopangwa.
"Kwa jeshi hili tulilonalo la ulinzi na usalama, kuna mtu anaweza kuzuia uchaguzi huu? Jeshi limejipanga kikamilifu na lipo imara. Nawashukuru sana viongozi wa Jeshi la Polisi kwa maandalizi yao," amesema Kishoa.
Aidha, ameongeza kuwa ana imani kubwa kuwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mkoa wa Singida, hususan Wilaya ya Mkalama, utampatia Rais Samia Suluhu Hassan kura nyingi kutokana na kazi kubwa na nzuri aliyoifanya nchini.
View attachment 3294498
Koshoa naye hapo kamaliza kutoa Nondo😅😅Masikini tanzania yangu😔
Mimi kinachonisikitisha huo umati wa watu. Siasa ni utapeli aisee japo haziepukiki kwenye maisha yetu halisi ila ni utapeli wa Hali ya juuKoshoa naye hapo kamaliza kutoa Nondo😅😅
Unajua hapo zimefungwa shule ngapi na vijiji vingapi vimesombwa😅😅Mimi kinachonisikitisha huo umati wa watu. Siasa ni utapeli aisee japo haziepukiki kwenye maisha yetu halisi ila ni utapeli wa Hali ya juu
Dah😄Unajua hapo zimefungwa shule ngapi na vijiji vingapi vimesombwa😅😅
Vyombo vya ulinzi na usalama haviwezi kufanya kosa la namna hiyo.Huko kutakuwa ni kusaidia utekelezaji wa ajenda ya Chadema.Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Jesca David Kishoa, amepinga vikali kampeni ya NO REFORM NO ELECTION inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ambacho kinapinga kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 hadi pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.