Sheria na kanuni za uchaguzi zinaruhusu mbunge kuwa na makazi nje ya jimbo
miss kuna tofauti kubwa katika kufananisha kwako.balozi kazi yake ni kuangalia maslahi ya taifa lake katika nchi husika na kushughulikia wananchi wa nchi yake katika nchi anayofanya kazi.lakini mbunge anachaguliwa kuyawakilisha matatizo ya wananchi katika sehemu husika hasa bungeni, kama kazi yake ndo hiyo akikaa nje ya jimbo lake atayajuaje matatizo ya wananchi wake?mbona balozi wa nchi ana makazi nje ya nchi yake na anatoa huduma na kupeleka maendeleo nchini mwake? it works like that
miss kuna tofauti kubwa katika kufananisha kwako.balozi kazi yake ni kuangalia maslahi ya taifa lake katika nchi husika na kushughulikia wananchi wa nchi yake katika nchi anayofanya kazi.lakini mbunge anachaguliwa kuyawakilisha matatizo ya wananchi katika sehemu husika hasa bungeni, kama kazi yake ndo hiyo akikaa nje ya jimbo lake atayajuaje matatizo ya wananchi wake?
kazi ya balozi ni kukaa nje ya nchi yake na kutekeleza wajibu wake huo nje ya hiyo nchi yake.hata majukumu yake ni yale yanayohusiana na hiyo nchi alikotumwa ndo maana hata siku moja balozi wa marekani tz hawezi kukaa marekani lazima akae tz ili atimize wajibu wake vizuri.miss huku iringa mbunge aliyopita kapigwa chini kwa ajiri hiyo yaani alikuwa hapati muda wa kuwasikiliza wananchi wake coz hakai iringa.sasa ndugu, mfano tujiulize; balozi akikaa nje ya nchi yake atajuaje maslahi ya nchi yake? mi naona tofauti ya kazi hizo mbili iko kwenye contents tu, lakini they all work in similar manner. ingawa kwa balozi kupewa makazi huko nje anakoishi ni stahili kwa mbunge is presumed kwamba due to geographical convenince anaweza kufanya maneuvre ya mahali pa kuishi na kutekeleza vyema wajibu wake kwa wapiga kura wake
miss kuna tofauti kubwa katika kufananisha kwako.balozi kazi yake ni kuangalia maslahi ya taifa lake katika nchi husika na kushughulikia wananchi wa nchi yake katika nchi anayofanya kazi.lakini mbunge anachaguliwa kuyawakilisha matatizo ya wananchi katika sehemu husika hasa bungeni, kama kazi yake ndo hiyo akikaa nje ya jimbo lake atayajuaje matatizo ya wananchi wake?
sasa ndugu, mfano tujiulize; balozi akikaa nje ya nchi yake atajuaje maslahi ya nchi yake? mi naona tofauti ya kazi hizo mbili iko kwenye contents tu, lakini they all work in similar manner. ingawa kwa balozi kupewa makazi huko nje anakoishi ni stahili kwa mbunge is presumed kwamba due to geographical convenince anaweza kufanya maneuvre ya mahali pa kuishi na kutekeleza vyema wajibu wake kwa wapiga kura wake
Sheria na kanuni za uchaguzi zinaruhusu mbunge kuwa na makazi nje ya jimbo
:bump:ki ukweeli sijawahi on posts zako zenye maana hata siku 1?balozi akichguliwa ofisi yake si lazima iwe katika nchi aliyochaguliwa?mbona balozi wa nchi ana makazi nje ya nchi yake na anatoa huduma na kupeleka maendeleo nchini mwake? it works like that
mbona balozi wa nchi ana makazi nje ya nchi yake na anatoa huduma na kupeleka maendeleo nchini mwake? it works like that
Kwa mfumo wa sasa wa bongo, sioni kama hiyo ni issue. At the end of the day ili mradi ana-deliver kwa kuwatumikia wananchi wake na kuleta maendeleo. Kukaa huko kijijini na kunywa nao kimpumu kila siku inaweza kuwa sio suluhisho la kuonekana ni mbunge mzuri na kuwatumikia anaowawakilisha.
Wapo wabunge ambao nawajua, hawakai ktk majimbo yao lakini wana coordinate vizuri shughuli za maendeleo ya maeneo yao, na kutatua kero za wapiga kura wao. Kumbuka siasa za bongo ni fitna na ushap wa kufuatilia mambo yako. Ukitegemea kuishi huko Kufakunoga, ambako simu ni zile za kukoroga, na ipo moja tu kwa DC, ndiyo huwe unawasiliana na wizara, idara n.k ktk kufuatilia mambo ya jimbo lako, hakuna kitakachofanyika kwa wakati.
Kujua matatizo ya wananchi wako, ktk inji yetu wala sio lazima uishi hapo jimboni.