Wewe mgagagigikoko kwani una elimu gani mpaka ujione una pointi za msingi. Narudia tena kuwa kwa mfumo uliopo, it doesn't matter na wala sio big deal. Wewe ndo unaonekana zuzu maana mbunge kuweza kuzunguka, kuhimiza hiyo miradi na kujua shida zao sio lazima aishi hapo. Hata kama atawasikiliza kila siku, bila kuwa na resources zozote za kuwasaidia au changia hiyo miradi itasaidia nini ?
Do you need kuishi Tarime, au Serengeti kujua land use conflicts-watu, mifugo ect ?. Unahitaji kuishi vijijini kujua matatizo ya barabara, miundombinu mingine na huduma za afya ect. Wewe ndo unaonekana mtu wa vitenge na kofia, ili mbunge aishi hapo na ushinde nyumbani kwake na kujikombakomba... !!
Mbunge sio solution ya kila kitu, yeye ni sehemu tu ya local gov system. Kama ana coordinate, empower na maintain comm nzuri na hao watendaji wengine huko ktk level ya chini, basi yy pia anashinda anatembeza bakuli (kama huyo rais wa chama chako), fund raising ect. At the end of the day, ili mradi anaweza kutembelea jimbo wakato wowote, sio lazima aishi hapo 24/7