Ndyo kakaMwenye ufaham tafadhali....
Huyu ni mtoto wa Makamu wa Rais?
Hahah nakumbuka nilikwenda Tanesco kufuatilia ishu fulani, nikakutana na Jamaa yangu kitambo Sana, yeye alisoma Marketing lakini yupo unit ya fedha, ni finance officer Nikashangaa Sana, mtu wa Aina hiyo alipaswa awe maybe kwenye customer services, nikamuuliza imekuaje kijana anasema aaa hata sijui mm nilitaka unit nyingine wao wamenileta Huku, Nikajua Haya ni mambo ya connection, unasukumiziwa Tu ilimradi ukae mahali kiundugu.
Jamaa dada Yake ni mtu mzito Tanesco kwenye kanda Fulani hivi, nafkir customer service kaambiwa hakuna kitu mdogo wangu njaa tupu Bora ukae kitengo cha fedha hahh.Sio connection tu, Ukute kitengo cha fani yake kipo ila ndo hivyo wakubwa wamemsukumia huko apambane na hali yake.
Hujawai ona Afisa mifugo anakusanya ushuru halmashauri.