KwaniniMuungano wa ******* sana duniani.Ni vichaa pekee wanaweza kuukubali muungano wa namna hii.ikitokea fursa ya kupiga kura kuhusu huu muungano wa kihuni lazima utajifia labda mapungufu yatolewe.
Hakuna cha mapungufu kutolewa wala nini! Kwa hapa tulipofikia, tunatakiwa kuondokana na huu unyonyaji. Kwa sababu tangu 1964 hakuna faida yoyote ile tunayoipata Watanganyika, zaidi ya kuendelea kuwanufaisha Wazanzibari.Muungano wa ******* sana duniani.Ni vichaa pekee wanaweza kuukubali muungano wa namna hii.ikitokea fursa ya kupiga kura kuhusu huu muungano wa kihuni lazima utajifia labda mapungufu yatolewe.
saa mbovu kuna wakati inasema kweli, naona umeleta uzi wa kizalendo, si wa kidiniSimai anapiga huku huku, akiingia baraza la wawakilishi anapiga, akiingia bungeni anapiga. Barazani anapiga hoja akienda bungeni anaupiga mwingi
Nashauri na awepo mwakilishi kupitia bunge ili na wao tuone kama anaweza kucheza pande zote 2 za muungano