The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Wameanza tena, kama vile ni ma last born? DahMmbunge kutoka Visiwani Zanzibar ametaka usawa kwenye mfuko wa Jimbo baina ya wabunge wa Bara na visiwani
Amesema kuna wakati alitaka kususia pesa ya mfuko wa Jimbo ambazo aliutaja kama Nazi za Turhani.
View attachment 3315395
Angesema kwanza jimbo lake lina ukubwa gani na lina wakaazi wangapi.Mmbunge kutoka Visiwani Zanzibar ametaka usawa kwenye mfuko wa Jimbo baina ya wabunge wa Bara na visiwani
Amesema kuna wakati alitaka kususia pesa ya mfuko wa Jimbo ambazo aliutaja kama Nazi za Turhani.
View attachment 3315395
Hivi amejiuliza kwanza anachofanya kwenye Bunge la Tanganyika, na wakati kule visiwani kwao wana bunge lao linalofahamika kama Baraza la Wawakilishi?Mmbunge kutoka Visiwani Zanzibar ametaka usawa kwenye mfuko wa Jimbo baina ya wabunge wa Bara na visiwani
Amesema kuna wakati alitaka kususia pesa ya mfuko wa Jimbo ambazo aliutaja kama Nazi za Turhani.
View attachment 3315395
Hivi amejiuliza kwanza anachofanya kwenye Bunge la Tanganyika, na wakati kule visiwani kwao wana bunge lao linalofahamika kama Baraza la Wawakilishi?
Hayo ndiyo mambo nisiyo yataka ya huu Muungano wa kipuuzi wa changu changu, chako changu. Bora ungevunjika tu.
Huyu ni mpumbavu sana! Rubbish kabisa!Hawa wazenji wanazingua.... Unapewaje pesa ya Jimbo sawasawa???... Mwenzako wa Bara Jimbo lake Lina wakaazi wapato laki 4 na ushee!... Wewe huko Zenji Jimbo lako Lina wakaazi Alfu 3.... Unatakaje usawa hapo?..... Mambo mengine muwage na mawanda mapana mnapohoji...... Stupid....
Kwa kweli amezingua sana...Huyu ni mpumbavu sana! Rubbish kabisa!
Mmbunge kutoka Visiwani Zanzibar ametaka usawa kwenye mfuko wa Jimbo baina ya wabunge wa Bara na visiwani
Amesema kuna wakati alitaka kususia pesa ya mfuko wa Jimbo ambazo aliutaja kama Nazi za Turhani.
View attachment 3315395
Hil sio bunge la Tanganyika bali ni bunge la JMT. watanganyika acheni kujimilikisha Tanzania
Hivi amejiuliza kwanza anachofanya kwenye Bunge la Tanganyika, na wakati kule visiwani kwao wana bunge lao linalofahamika kama Baraza la Wawakilishi?
Hayo ndiyo mambo nisiyo yataka ya huu Muungano wa kipuuzi wa changu changu, chako changu. Bora ungevunjika tu.
Na Jimbo la Zanzibar ni kama mtaa mmoja wa TanganyikaUkweli ni kuwa Zanzibar ni kama mkoa,
Sasa Tanganyika nyie si sleeping giants??Hawa si wananunge Lao huko Zanzibar??
Lijengwe Zanzibar sasa....Hangaya si siku 2 Dar, siku 3 Zenji, ikulu ya Zenji na Ikulu ya JMT ipo, wajenge na Bunge kule kule, liwe la JMT.Hil sio bunge la Tanganyika bali ni bunge la JMT. watanganyika acheni kujimilikisha Tanzania