PreGE2025 Mbunge kutoka Zanzibar adai wabunge wa bara wanapendelewa kuliko wa visiwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hil sio bunge la Tanganyika bali ni bunge la JMT. watanganyika acheni kujimilikisha Tanzania
Kama ni bunge la JMT, unaweza kunionesha bunge la Tanganyika lilipo? Maana Zanzibar kama sehemu ya huo Muungano kati yake na Tanganyika; wana bunge lao la Baraza la Wawakilishi!
 
Yupo sahihi. Njia ya kufany ni kuunganisha vijimbo ili yalingane na majimbo ya bara! Hapo hatakubali
 
Kama ni bunge la JMT, unaweza kunionesha bunge la Tanganyika lilipo? Maana Zanzibar kama sehemu ya huo Muungano kati yake na Tanganyika; wana bunge lao la Baraza la Wawakilishi!

hicho ndicho mnachotakiwa mukipambanie
 
Back
Top Bottom