Mbunge Lijualikali atoa siri za CHADEMA; akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai

Mbunge Lijualikali atoa siri za CHADEMA; akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai

Huyu mtu ana uelewa mdogo sana, kazungumzia mengi, kawataja kina Msigwa na wengine watajibu wenyewe.

Hapa niongelee hili la yeye kuipinga hoja ya Chadema imemtoa mbali, anadai yeye na Chadema wote wametoana mbali, anasahau wakati Chadema imeanza harakati, yeye alikuwa hafahamiki popote na yeyote.

Nimuulize tu; kwanini aliamua kugombea ubunge wa jimbo lake kupitia Chadema na kuviacha vyama vingine vya upinzani?

Kama kweli anajiona yeye na Chadema ni nguvu sawa, kwanini asingegombea ubunge wa jimbo lake kupitia TLP au NCCR?

Na kama anajiamini ana nguvu, kwanini sasa hivi amekimbilia CCM akawe hata mfagizi, kwanini asiende kufagia TLP au Chaumma?!

Utaona wazi tu hapa kwamba, huyu jamaa anapenda kujitutumua, ila kwa kifupi ni mtu asie na shukrani, na asiejiamini, anajiona mwenye nguvu, ila anapenda kujiegemeza kwa ambavyo vimeshajengwa tayari na kusimama.

Kama kweli ana nguvu anazojinasibu anazo, atoke, aanzishe chama chake, halafu agombee ubunge tumuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
KUMPUUZA HUYO
 
Watu tunaamini mtu ukifikia level ya kutungua sheria yaani Mbunge basi unakomaa kifikra na kimtizamo kumbe utoto mtupu..

Wengine wanasema wanabakwa sijui anatomaswa maziwa..yaani mama mtu mzima kabisa unatunga sheria...unashikwa shikwa maziwa unatakaa miaka 5 kimya useless..useless!!

Sisi tunahangaika na hawa vipepeo wetu under 18, ala kumbe kuna mijipepeo mizee mijinga kabisa...

Hii ni aibu kubwa saana...aibu
Una maoni gani kuhusu haya madudu ya chadema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We tulia tu kiongozi huyu hana muda mrefu atapotea vbaya mno. Huko anakofikiri anahitajika kunawababe pia. Ni jambo la muda tu coz hata km anasema chadema walikwepa kodi hivi hicho chama anachokiamini kimetupa hasara kiasi gani cha matrilion watanzania
Sasa utofauti wenu na ccm ni upi kama mnakwepa kodi hata mamlaka hamjachukua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Useless person, una akili kama jamaa yako ambaye hajukikani kama ni kijana ama mzee, hivi wewe unaweza kumnyanyasa kingono mtunga sheria za nchi...kweli ...una akili wewe?

Yaani anakutunga sheria na sheria anaijua kabisa sasa wewe zumbukuku ati umshikeshike maziwa yake bila bidhaa yake...mavii...
Kwa akili yako kina Mdee wana la kusema kwa akina Mbowe kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Game linaendelea,wataelewa tu maana ya kukosea hesabiu hasubuhi hasubuhi,ingawa kuna uzi ulilimwa.
Anaweza pewa utendaji kata kama yule wa Kakonko. Sasa ana juta kuhama Chadema.. Kumpa mtoto jina una takiwa kumuomba sana Mungu usije mpa jina kama la huyu ati Lijua likali. Na kweli kichwa imekuwa lijua likali. Kafyatuka akili..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila lijualikali huenda mpaka sasa chadema isingepata jimbo la kilombero Tulimchagua lijualikali sio kwasababu ya chama chake ni kwa sababu ya kujitoa kwake kabla hata hajawa diwani wa ifakara alikuwa anaushawish mkubwa ndani ya ifakara...Had chadema inachukua jimbo la kilombero lijua ameteseka sana so yupo sahihi kusema yeye na chadema wametoana mbali



Kuing'oa ccm kwenye jimbo waliloweka mizizi sio mchezo...Nakuahakikishia Chadema bila lijualikali isahau jimbo la kilombero Kwa sasa
Hiyo Lijua ameikuta Chadema tayari ipo, yeye kwa utashi wake akaamua kujiunga Chadema akiamini ataongeza nafasi zake kushinda, ukumbuke wakati anajiunga CDM, chama hiki kilikuwa tayari kimeshaota mizizi nchini, kwahiyo akachagua ambacho tayari kinafahamika kilichokwisha jengwa na wengine, kwanini hakwenda kugombea TLP kama kweli anafahamika huko jimboni?

Una habari juzi alisema alibebwa na mkurugenzi 2015?, hakushinda kwa nguvu zake kama unavyodhani.

Ok, tufanye alikosea kidogo; naamini hii ni nafasi yake kurekebisha mambo, sasa atoke CCM aliposema anaenda kuwa mfagizi, ambacho kimsingi tayari ni chama imara, aanzishe chama chake akiweza, au aende Chaumma, then agombee ubunge halafu mumchague ashinde.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom