Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
KUMPUUZA HUYOHuyu mtu ana uelewa mdogo sana, kazungumzia mengi, kawataja kina Msigwa na wengine watajibu wenyewe.
Hapa niongelee hili la yeye kuipinga hoja ya Chadema imemtoa mbali, anadai yeye na Chadema wote wametoana mbali, anasahau wakati Chadema imeanza harakati, yeye alikuwa hafahamiki popote na yeyote.
Nimuulize tu; kwanini aliamua kugombea ubunge wa jimbo lake kupitia Chadema na kuviacha vyama vingine vya upinzani?
Kama kweli anajiona yeye na Chadema ni nguvu sawa, kwanini asingegombea ubunge wa jimbo lake kupitia TLP au NCCR?
Na kama anajiamini ana nguvu, kwanini sasa hivi amekimbilia CCM akawe hata mfagizi, kwanini asiende kufagia TLP au Chaumma?!
Utaona wazi tu hapa kwamba, huyu jamaa anapenda kujitutumua, ila kwa kifupi ni mtu asie na shukrani, na asiejiamini, anajiona mwenye nguvu, ila anapenda kujiegemeza kwa ambavyo vimeshajengwa tayari na kusimama.
Kama kweli ana nguvu anazojinasibu anazo, atoke, aanzishe chama chake, halafu agombee ubunge tumuone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sioni.Ila kwa uafadhali kidogo bora Majaliwa.Hoja yako hauwezi kumfufua Chacha Wangwe hebu tuonyeshe mbadala sasa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una maoni gani kuhusu haya madudu ya chadema?Watu tunaamini mtu ukifikia level ya kutungua sheria yaani Mbunge basi unakomaa kifikra na kimtizamo kumbe utoto mtupu..
Wengine wanasema wanabakwa sijui anatomaswa maziwa..yaani mama mtu mzima kabisa unatunga sheria...unashikwa shikwa maziwa unatakaa miaka 5 kimya useless..useless!!
Sisi tunahangaika na hawa vipepeo wetu under 18, ala kumbe kuna mijipepeo mizee mijinga kabisa...
Hii ni aibu kubwa saana...aibu
Sasa utofauti wenu na ccm ni upi kama mnakwepa kodi hata mamlaka hamjachukua?We tulia tu kiongozi huyu hana muda mrefu atapotea vbaya mno. Huko anakofikiri anahitajika kunawababe pia. Ni jambo la muda tu coz hata km anasema chadema walikwepa kodi hivi hicho chama anachokiamini kimetupa hasara kiasi gani cha matrilion watanzania
Tibu ya kwako...Mh Membe anarudi kwa kasi ...kuku nyie mtajuta!!
Kwa akili yako kina Mdee wana la kusema kwa akina Mbowe kweli?Useless person, una akili kama jamaa yako ambaye hajukikani kama ni kijana ama mzee, hivi wewe unaweza kumnyanyasa kingono mtunga sheria za nchi...kweli ...una akili wewe?
Yaani anakutunga sheria na sheria anaijua kabisa sasa wewe zumbukuku ati umshikeshike maziwa yake bila bidhaa yake...mavii...
Majaliwa huyu huyu aliyeimba hadharani ana imani ma lowassa ???Hata sioni.Ila kwa uafadhali kidogo bora Majaliwa.
Membe ndio qnasababisha haya madudu ya chadema?Tibu ya kwako...Mh Membe anarudi kwa kasi ...kuku nyie mtajuta!!
Hakukosea ukweli unadhihirisha bora Lowassa kuliko Magufuli.
Madudu gani haya ya kununua madiwani na wabunge wa CDM? Aah wanunueni si hela mnazo hazina si ni ya kwenu nani ataguna kwenye hili.
Kaka hapa ndipo wanapofeli....Serikali nzima tunapambana na mtu mmoja.... ni kichekesho cha mwaka.CCM wameishiwa pumzi, badala ya kupambana na umasikini, ujinga na maradhi wameamua kupambana na Mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anaamini bora Lowasa kuliko Magufuli kuendelea kuwa kiongozi kwenye serikali ya Magufuli kunamfanya apoteze moral authority ya kusimamia anachokiamini.Hakukosea ukweli unadhihirisha bora Lowassa kuliko Magufuli.
ππππWamrudishie zile laki tano tano ambazo wengine kumbe hawajawahi kuchangia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yeye ni asset, now aende Chaumma akagombee ubunge jimboni kwake.Chadema walimuona ni asset ndio maana wakamuachia. Kumbuka walitaka wamtose kabla wakazinduliwa na wenye jimbo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unanunua kitu ambacho hakijiuzi?Madudu gani haya ya kununua madiwani na wabunge wa CDM? Aah wanunueni si hela mnazo hazina si ni ya kwenu nani ataguna kwenye hili.
Chadema sijui why wanajisahau.Walifika hatua nzuri sana wangeweza kukamata imani ya wanapiga kura lakn sasa wana hali mbaya sanaKama yeye ni asset, now aende Chaumma akagombee ubunge jimboni kwake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza pewa utendaji kata kama yule wa Kakonko. Sasa ana juta kuhama Chadema.. Kumpa mtoto jina una takiwa kumuomba sana Mungu usije mpa jina kama la huyu ati Lijua likali. Na kweli kichwa imekuwa lijua likali. Kafyatuka akili..Game linaendelea,wataelewa tu maana ya kukosea hesabiu hasubuhi hasubuhi,ingawa kuna uzi ulilimwa.
Siyo kupiga deki pekee lazima wampigishe simu chooni kule lumumba kama form one,Huyo si angojee tu majibu ya maombi yake ya kupiga deki pale Lumumba! Mbona kama anateseka saanaa
Hiyo Lijua ameikuta Chadema tayari ipo, yeye kwa utashi wake akaamua kujiunga Chadema akiamini ataongeza nafasi zake kushinda, ukumbuke wakati anajiunga CDM, chama hiki kilikuwa tayari kimeshaota mizizi nchini, kwahiyo akachagua ambacho tayari kinafahamika kilichokwisha jengwa na wengine, kwanini hakwenda kugombea TLP kama kweli anafahamika huko jimboni?Bila lijualikali huenda mpaka sasa chadema isingepata jimbo la kilombero Tulimchagua lijualikali sio kwasababu ya chama chake ni kwa sababu ya kujitoa kwake kabla hata hajawa diwani wa ifakara alikuwa anaushawish mkubwa ndani ya ifakara...Had chadema inachukua jimbo la kilombero lijua ameteseka sana so yupo sahihi kusema yeye na chadema wametoana mbali
Kuing'oa ccm kwenye jimbo waliloweka mizizi sio mchezo...Nakuahakikishia Chadema bila lijualikali isahau jimbo la kilombero Kwa sasa