Unamsemea nani we ndezi!.Chadema sijui why wanajisahau.Walifika hatua nzuri sana wangeweza kukamata imani ya wanapiga kura lakn sasa wana hali mbaya sana
Yawezekana Chadema siyo Chama cha siasa kama wabunge wake ndio wa aina hii...bure kabisa!
Hakuwa na sababu ya kuichafua CHADEMA angesema nimeamua kuunga juhudi kutokana na kasi ya maendeleo yanayofanywa na awamu hii.Watu tunaamini mtu ukifikia level ya kutungua sheria yaani Mbunge basi unakomaa kifikra na kimtizamo kumbe utoto mtupu..
Wengine wanasema wanabakwa sijui anatomaswa maziwa..yaani mama mtu mzima kabisa unatunga sheria...unashikwa shikwa maziwa unatakaa miaka 5 kimya useless..useless!!
Sisi tunahangaika na hawa vipepeo wetu under 18, ala kumbe kuna mijipepeo mizee mijinga kabisa...
Hii ni aibu kubwa saana...aibu
Uko dunia gani wewe? Viti maalumu wenyewe wamelalamikaUseless person, una akili kama jamaa yako ambaye hajukikani kama ni kijana ama mzee, hivi wewe unaweza kumnyanyasa kingono mtunga sheria za nchi...kweli ...una akili wewe?
Yaani anakutunga sheria na sheria anaijua kabisa sasa wewe zumbukuku ati umshikeshike maziwa yake bila bidhaa yake...mavii...
Niseme tu hapa sijadili kichama. Ila majaribu kuliwaza jambo kwa upana kidogo. Anayosema huyo mbunge yamethibitishwa na chombo kilichopo kisheria km takukuru au ofisi ya CAG. Lakini nikisema kulishatokea upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za mikataba mibovu tayar yalishathibitika. Hamna palipo salama ila kunazidianaSasa utofauti wenu na ccm ni upi kama mnakwepa kodi hata mamlaka hamjachukua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekwambia wanalalamikia nini?Uko dunia gani wewe? Viti maalumu wenyewe wamelalamika
Daa kwa kweli mkuu nimemwangalia lijuakali anfikirisha sana amekosa weredi sana huyu bwana mdogoHuyu mtu ana uelewa mdogo sana, kazungumzia mengi, kawataja kina Msigwa na wengine watajibu wenyewe.
Hapa niongelee hili la yeye kuipinga hoja ya Chadema imemtoa mbali, anadai yeye na Chadema wote wametoana mbali, anasahau wakati Chadema imeanza harakati, yeye alikuwa hafahamiki popote na yeyote.
Nimuulize tu; kwanini aliamua kugombea ubunge wa jimbo lake kupitia Chadema na kuviacha vyama vingine vya upinzani?
Kama kweli anajiona yeye na Chadema ni nguvu sawa, kwanini asingegombea ubunge wa jimbo lake kupitia TLP au NCCR?
Na kama anajiamini ana nguvu, kwanini sasa hivi amekimbilia CCM akawe hata mfagizi, kwanini asiende kufagia TLP au Chaumma?!
Utaona wazi tu hapa kwamba, huyu jamaa anapenda kujitutumua, ila kwa kifupi ni mtu asie na shukrani, na asiejiamini, anajiona mwenye nguvu, ila anapenda kujiegemeza kwa ambavyo vimeshajengwa tayari na kusimama.
Kama kweli ana nguvu anazojinasibu anazo, atoke, aanzishe chama chake, halafu agombee ubunge tumuone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hujawasikia wakilalamika wanalazimishwa ngono?Wamekwambia wanalalamikia nini?
CCM ndo mdudu gani ?Hapa twaongelea Saccos a.k.a Chadema.
Ninajaribu kujiuliza sana, yani mfano wake wa Mandela na kusamehe.. Sasa inakuaje rahisi sana kusamehe watu ambao walimfunga na kumtesa na kumbambikizia kesi miaka yote hiyo, halafu asisamehe hawa ambao wamepishana tu mawazo? Hayo mambo ya mwenyekiti na kuteua katibu mkuu then wakurugenzi mbona ni kama kila chama kina fanya hivyo? Kama chama anajua kinategemea nguvu ya wanachapa kukijenga analalamika nini? Na hizo hela za uchaguzi anazo lalamikia, mbona uchaguzi haujafika bado? Pia, si angeweza tu kusubiri muda wake wa ubunge uishe na aombe tu kazi yoyote, kwa hizi wiki zilizobakia kulikua na haja gani ya kujipa haya mausumbufu yote? Hizo wiki 2 wenzake walio toka zina mabadiliko yoyote ya maana katika kuwawakilisha wananchi wake, tofauti na wenzake walio toka? Nna maswali meengi ningetamani kumuuliza kama ningekua mwana habari mmoja wapo.. Lakini itoshe kwa haya baadhiLijuakali - Akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai
Lijuakali - Akana kusema kuwa CHADEMA waliiba kura 2015 (Mada iliyoandikwa JamiiForums)
Lijuakali - Akana maneno ya Lissu kuwa hakumlipa hela, adai alimlipa milioni 20
Lijuakali - Amsifia Lissu anapokuwa anafanya kazi zake za uwakili
Lijuakali - Hata kama CCM wakimkataa, hatarudi CHADEMA
Lijuakali - Akizungumzia alichosema Bulaya kuhusu yeye kuwa aweke akiba ya maneno, auliza kuwa Bulaya anaogopa nini Lijuakali asiseme anachojua
Lijuakali - Kuhusu ripoti ya CAG: CHADEMA kilimkopesha sehemu ya ruzuku Mbunge akanunue gari, baada ya gari kununuliwa gari hilo likawa linatumiwa na chama , kwahiyo mbuge alipewa pesa na chama ili anunue gari ili chama kikwepe kodi
Lijuakali - CHADEMA waliwafuata kuwa chama kinataka kununua magari ila hakina hela, kwahiyo chama kikawaomba wabunge ambao hawajatumia exemptions zao kutumia exemptions hizo kununua magari ya chama ili kukwepe kulipa kodi
Mkuu 'FUSO'Watu tunaamini mtu ukifikia level ya kutungua sheria yaani Mbunge basi unakomaa kifikra na kimtizamo kumbe utoto mtupu..
Wengine wanasema wanabakwa sijui anatomaswa maziwa..yaani mama mtu mzima kabisa unatunga sheria...unashikwa shikwa maziwa unatakaa miaka 5 kimya useless..useless!!
Sisi tunahangaika na hawa vipepeo wetu under 18, ala kumbe kuna mijipepeo mizee mijinga kabisa...
Hii ni aibu kubwa saana...aibu
Inawezekana (nasema inawezekana, kwa sababu ya 'pattern' ya mambo yanavyojitokeza); ukawa ni MKAKATI!Ninajaribu kujiuliza sana, yani mfano wake wa Mandela na kusamehe.. Sasa inakuaje rahisi sana kusamehe watu ambao walimfunga na kumtesa na kumbambikizia kesi miaka yote hiyo, halafu asisamehe hawa ambao wamepishana tu mawazo? Hayo mambo ya mwenyekiti na kuteua katibu mkuu then wakurugenzi mbona ni kama kila chama kina fanya hivyo? Kama chama anajua kinategemea nguvu ya wanachapa kukijenga analalamika nini? Na hizo hela za uchaguzi anazo lalamikia, mbona uchaguzi haujafika bado? Pia, si angeweza tu kusubiri muda wake wa ubunge uishe na aombe tu kazi yoyote, kwa hizi wiki zilizobakia kulikua na haja gani ya kujipa haya mausumbufu yote? Hizo wiki 2 wenzake walio toka zina mabadiliko yoyote ya maana katika kuwawakilisha wananchi wake, tofauti na wenzake walio toka? Nna maswali meengi ningetamani kumuuliza kama ningekua mwana habari mmoja wapo.. Lakini itoshe kwa haya baadhi
Chadema yenyewe haina shukraniHuyu mtu ana uelewa mdogo sana, kazungumzia mengi, kawataja kina Msigwa na wengine watajibu wenyewe.
Hapa niongelee hili la yeye kuipinga hoja ya Chadema imemtoa mbali, anadai yeye na Chadema wote wametoana mbali, anasahau wakati Chadema imeanza harakati, yeye alikuwa hafahamiki popote na yeyote.
Nimuulize tu; kwanini aliamua kugombea ubunge wa jimbo lake kupitia Chadema na kuviacha vyama vingine vya upinzani?
Kama kweli anajiona yeye na Chadema ni nguvu sawa, kwanini asingegombea ubunge wa jimbo lake kupitia TLP au NCCR?
Na kama anajiamini ana nguvu, kwanini sasa hivi amekimbilia CCM akawe hata mfagizi, kwanini asiende kufagia TLP au Chaumma?!
Utaona wazi tu hapa kwamba, huyu jamaa anapenda kujitutumua, ila kwa kifupi ni mtu asie na shukrani, na asiejiamini, anajiona mwenye nguvu, ila anapenda kujiegemeza kwa ambavyo vimeshajengwa tayari na kusimama.
Kama kweli ana nguvu anazojinasibu anazo, atoke, aanzishe chama chake, halafu agombee ubunge tumuone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hapa Jukwaani. Karibu.Where are u friend for me to join too