PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
Akiomba Bungeni kwamba Mh spika Aunde tume ya uchunguzi. Juu ya Ujenzi wa Bwawa la Nyerere pamoja na Upandaji wa Bei za Mafuta pamoja na mbolea. Kwamba kuna wajanja wanatengeneza michezo kwa kisingizio cha vita ya Urusi.
Kusema ukweli Mimi namuunga mkono Mh mpina hali ni mbaya sana mtaani mifumuko ya bei imekua yakupindukia kwenye kila bidhaa ukiuliza wanakwambia urusi.
Hivi hii Vita ya urusi ni mbaya kuliko janga la corona?
Corona ilikua na hathari duniani kote lakini nchi yetu iliweza kusimama bila kuathirika. Hapa ndipo tunadungua Magufuli Alikua Makini kusimamia nchi kwa uadilifu mkubwa.
Ushauri Wangu kwa Mama yetu Samia. Angalia watu waliokuzunguka Una majoka yanayoangamiza Watoto wako.