MasterGamaliel
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 923
- 1,001
Fanya utafiti uelewe maana ya "Kazi Iendelee"Akiomba Bungeni kwamba Mh spika Aunde tume ya uchunguzi. Juu ya Ujenzi wa Bwawa la Nyerere pamoja na Upandaji wa Bei za Mafuta pamoja na mbolea. Kwamba kuna wajanja wanatengeneza michezo kwa kisingizio cha vita ya Urusi.
Kusema ukweli Mimi namuunga mkono Mh mpina hali ni mbaya sana mtaani mifumuko ya bei imekua yakupindukia kwenye kila bidhaa ukiuliza wanakwambia urusi.
Hivi hii Vita ya urusi ni mbaya kuliko janga la corona?
Corona ilikua na hathari duniani kote lakini nchi yetu iliweza kusimama bila kuathirika. Hapa ndipo tunadungua Magufuli Alikua Makini kusimamia nchi kwa uadilifu mkubwa.
Ushauri Wangu kwa Mama yetu Samia. Angalia watu waliokuzunguka Una majoka yanayoangamiza Watoto wako.
Je unaijua ni kazi gani ilikuwa imesimama na sasa Iendelee?
Jifunze kujua maana ya Kila Jambo Lina wakati wake, na ndani ya Kila wakati kuna ACTIONS Zake, la maana pima outweighing benefits against disadvantages ya kila wakati wa Jambo hilo. Wapi Pana unafuu kwa wengi! Pia kumbuka tuko kwenye Vita za kiuchumi, na usichelewe kujua kuwa ni Vita za kiuchumi wa mtu mmoja mmoja, achilia mbali hata ukoo wote, ni mmoja mmoja! (Ubepari wa kisasa kabisa).
Mfano, pima ujue (hata Kwa ajili ya wengi) ili siku nyingine usaidie jamii,
Tuambie Vipi Hali ya
HAPA KAZI TU
VS
KAZI IENDELEE