Mbunge Luhaga Mpina anazidi kutufumbua macho Watanzania

Maumivu ya kukosa uwaziri yanamsumbua
Akijibiwa atakuwa mweupee Kama siku ile Bashe alivyo mshushua
 
Mpina sio mkweli,ni msaka tonge tu.
Alivyoharibu biashara ya uvuvi bila kuzingatia sheria za nchi ameua uvuvi kwa kiwango kikubwa.Mheshimiwa Msukuma amemkaaga sana bungeni bwana Mpina,kwa vielelezo vingi tu hadi Magu akamtumbua.
Ujenzi wa Bwawa la Mwl.Nyerere hakuwa wazi kutoka mwanzo.
Mbona hakumwambia mjomba Magu kuwa Arab Contractor hana uwezo kabisa wa kujenga bwawa hilo?
Mbona hakusema kuwa hatuna pesa za kujenga SGR kwa pesa zetu kwa muda rafiki?
Mbona hakusema sera za Uchumi za Mjomba Magu zinayumbisha nchi?
Mbona hakusema elimu bure bila vyumba vya madarasa,madawati,walimu ni sawa sawa na sifuri?
 
Mpina anajua vizuri tabia za January anajua namna huyu jamaa anaibia nchi
Yeah wew umeongea point kabisa maana sisi vijana wengine tumekulia ktk ugali upo mezani hawawezi wangine kujua shida za mwenzako hasiyekulia ktk meza chakula kipo ktk poti funua pale ..
 
Ukitaka kujua yupi mnafiki yupi mkweli jiulize je angekuwepo Jiwe huyu angesema haya? Wengi wao utapata jibu "Hapana"

Nabaki kuwaona hawa ni watafuta tonge tu kama we na mimi na agenda zao za kisiasa zaidi ya kunisaidia mie....
Jiwe halikuwa hanakuinukia mapema hakiona mambo hayaendi sawa watu wakiwa wanakwamisha maendeleo ya wananchi..
 
Amekufumbua macho au amekufungua macho
 
Hapa kuna shida sio bure...huyu mpina anajua madudu yanayofanyika Acha aendelee kutoa la moyoni

Ni kweli aendelee kutoa tu hilo dukuduku lake, lakini ni ngumu kupata support, kwani yeye ni mmoja watu ambao kipindi cha Magufuli walioua nguvu ya kuhoji. Sana sana hapo alipo tunamuona ni mnafiki tu aliyekosa ulaji.
 
Ndiyo maana chadema wameamua walambe asali tu

ulitaka wafanyeje kwa mfano?.

wakitoa wito wa maandamano ya kupinga haya yanayoendelea sasa hivi nchini, utakuwa tayari kuingia barabarani kuandamananao?.

sanasana utajificha nyuma ya keyboard kuwabeza.
 
Namuunga mkono Mpina, kudharau hoja zake kwa sababu yoyote ni sawa na kutoa sadaka rasilimali za taifa letu ziendelee kuchezewa na wajanja wachache.

Makamba anatakiwa awe anatoa updates kuhusu ujenzi wa hili bwawa, japo najua ametumwa na bosi wake kuupuza huu mradi na kugeukia LNG ambayo hata fedha zake hawana.
 
he should have consistency in his arguments... we need consistency otherwise will be personal interest... if he opt to be quite at that time and he now pointing finger to somebody.... it is called "mchumia tumbo"

we need real people for the business and not comedian looking for fame and some tip to feed the empty sump..
 
Ameongea unachokitaka kiongelewe. This is what we call hallow effect.
 
kabisa, leo hii hata Ndugai tunamuona mtakatifu wakati juzi tu hapa tulimuona kama takataka na wote tukakubaliana ni kiazi... ndio maana kumbe hata EL tulimdekia barabara
Watanzania hawajui wanapigania nini,hawajui wanataka nini,hawajui wanasimamia wapi
Acha tu wanasiasa watupeleke watakavyo maana washajua namna ya kucheza na akili zetu

Ova
 

African presidents know how to silence trouble makers. Hangaya akiamua kumnyamazisha ni swala la kufumba na kufumbua. Akimlisha kiapo cha uwaziri au unaibu waziri, hizi kelele zake hutazisikia tena! Hata yeye anaijua hiyo drill.
 
Mpina anasumbuliwa na roho za vifaranga aliowachoma Nanga na dhuluma ya ng'ombe 1300 wa Kenya aliowaita mnada Loliondo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…