Mbunge Luhaga Mpina anazidi kutufumbua macho Watanzania

Fanya utafiti uelewe maana ya "Kazi Iendelee"
Je unaijua ni kazi gani ilikuwa imesimama na sasa Iendelee?

Jifunze kujua maana ya Kila Jambo Lina wakati wake, na ndani ya Kila wakati kuna ACTIONS Zake, la maana pima outweighing benefits against disadvantages ya kila wakati wa Jambo hilo. Wapi Pana unafuu kwa wengi! Pia kumbuka tuko kwenye Vita za kiuchumi, na usichelewe kujua kuwa ni Vita za kiuchumi wa mtu mmoja mmoja, achilia mbali hata ukoo wote, ni mmoja mmoja! (Ubepari wa kisasa kabisa).

Mfano, pima ujue (hata Kwa ajili ya wengi) ili siku nyingine usaidie jamii,

Tuambie Vipi Hali ya

HAPA KAZI TU

VS

KAZI IENDELEE
 
Ndiye aliyempa ulaji yule wa rula akijua?
 
Wala hata siyo msiba huo. Ni ule msiba wa kukosa uwaziri ndio unaomsumbua zaidi.
kufa kufaana ni kweli kuna baadhi ya matajiri wasio waaminifu wanatumia fursa ya vita ya ukraine na urusi kama njia ya kuwanyonya wananchi kwa kupandisha bei ya bidhaa mbali mbali lkn kiuhalisia hali haiko kivile.
 
Mama yetu SSH ana nia nzuri sana na nchi yetu ya Tz, sema tu amezungukwa na mafisi hatari sana ambayo hadi sasa ni bahati mbaya sana mama hajagundua kuwa ni majitu yenye husda na tamaa kubwa sana ya fedha.
 
Mbwa hula makombo yaangukayo mezani pa Bwana wake
 
Ila wazo lake ni kama lilidharauliwa hivi
 
mbunge wa wananchi huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…