Mbunge Lusinde amfananisha Manji na Lipumba

Kyusi

Senior Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
130
Reaction score
81
Mbunge wa Mtera Mh. Lusinde hivi karibuni akihojiwa na Clouds FM aliponda kitendo cha Manji kutangaza kurudi ktk nafasi ya uenyekiti wa Yanga wakati alijiuzulu mwenyewe. Alifananisha kitendo hicho na kile akichofanya Lipumba na kudai kuwa kitendo hicho kinaweza ivuruga Yanga. Kumbe watu wanajua kuwa lengo la Lipumba lilikuwa kuivuruga CUF!!!
 
Huyo mbunge nae kichwa maji

Wakati yanga wenyewe hawataki kufanya uchaguzi wanamlilia Manji licha ya Manji kuwatolea nje mara kibao..sasa yanga itavurugika vp wakati wao wenyewe ndio wanampigia magoti arudi

Suala lipumba hakuna mwana cuf waliomlilia Lipumba arudi hivyo ni vitu 2 tofauti
 
Baadhi ya wanayanga ndo wanamtaka Manji arudi
 
Ivi yule mbunge bwege aliishiaga wapi?
 
Bwege bado ni Mbunge kwa tiketi ya CUF ktk Jimbo la Kilwa Kusini
 
Huyo Mbunge hicho ndiyo kipaumbele chake kwa Wananchi waliomchagua..?

Nahisi Jimboni kwake kuna Changamoto kibao zinazopaswa kutatuliwa..
 
Sio yanga wote wanamlilia au hujui kuwa wapo waliochukua fomu nafasi ya uenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…