Mbunge wa Mtera Mh. Lusinde hivi karibuni akihojiwa na Clouds FM aliponda kitendo cha Manji kutangaza kurudi ktk nafasi ya uenyekiti wa Yanga wakati alijiuzulu mwenyewe. Alifananisha kitendo hicho na kile akichofanya Lipumba na kudai kuwa kitendo hicho kinaweza ivuruga Yanga. Kumbe watu wanajua kuwa lengo la Lipumba lilikuwa kuivuruga CUF!!!