johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Akizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na luninga ya Star mbunge wa Bukoba mjini mh Lwakatare amesema Mbowe ni rafiki yake mkubwa na hata juzi alimsindikiza hadi Air port wakati anahamishiwa Dsm kwa matibabu.
Kuhusu wabunge wa CCM na Spika kuamini kuwa Mbowe alianguka baada ya kulewa Lwakatare amesema wabunge wote ni " walevi" hivyo yeye asingependa kuzungumzia habari za mitaani ambazo hazina uhakika bali anawasihi watanzania wasubiri ripoti ya vyombo vya uchunguzi.
Maendeleo hayana vyama!