Mbunge Lwakatare: Hakuna mbunge asiyelewa, suala la Mbowe tusitie chumvi tusubiri ripoti ya vyombo vya uchunguzi

Mbunge Lwakatare: Hakuna mbunge asiyelewa, suala la Mbowe tusitie chumvi tusubiri ripoti ya vyombo vya uchunguzi

All Policemen are Form IV failures!!! The Majority of them ni Div IV za Mwisho kabisa au Div 0!!![emoji1787][emoji1787]
Usisahau vyeti vyao huko hakukufanyika uhakiki ndio maana wanaisaidia CCM kwa nguvu zote
 
Ile report imejaa Usanii na Upotoshaji MKUBWA. Polisi wanasema Majirani hawakusikia kelele za mtu kuvamiwa/ kushambuliwa na Mhe. alikuwa amelewa CHAKARI!
Hapa hakuna weledi wowote ulotumika zaidi ya maoni ya Wabunge wa CCM Bungeni

Kuwa chakari haiwezi kuwa ndiyo kigezo Cha mtu KUUMIA kwa kuanguka. Je, Raia hawezi kushambuliwa akiwa chakari?
Lakini pia K Polisi hawajatueleza Mhe. Mbowe alikuwa amekunywa aina gani ya kilevi? Je, haiwezekani akawa akitiliwa kilevi Maalumu(madawa ya usingizi au kulevya)?
Mbona Mzee Mangula walisema kanyweshwa SUMU na mpaka sasa hawajatuambia Ni sumu gani na Nani alimwekea kwenye chakula au kinywaji?
Kweli
 
Akizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na luninga ya Star mbunge wa Bukoba mjini mh Lwakatare amesema Mbowe ni rafiki yake mkubwa na hata juzi alimsindikiza hadi Air port wakati anahamishiwa Dsm kwa matibabu.

Kuhusu wabunge wa CCM na Spika kuamini kuwa Mbowe alianguka baada ya kulewa Lwakatare amesema wabunge wote ni " walevi" hivyo yeye asingependa kuzungumzia habari za mitaani ambazo hazina uhakika bali anawasihi watanzania wasubiri ripoti ya vyombo vya uchunguzi.

Maendeleo hayana vyama!
John siku izi unareflect jina lako
 
Issue si ulevi wa Mbowe bali ni kuteleza na kuanguka kwa ulevi wake wa Faru John halafu anasingizia eti kavamiwa na kupigwa
Mkapa naye enzi zake tena akiwa ikulu aliwahi kukumbwa na kazia hizi,watu wakasema kichapo kutoka kwa waifu wengine mara ulanzi ndio chanzo n.k
 
Akizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na luninga ya Star mbunge wa Bukoba mjini mh Lwakatare amesema Mbowe ni rafiki yake mkubwa na hata juzi alimsindikiza hadi Air port wakati anahamishiwa Dsm kwa matibabu.

Kuhusu wabunge wa CCM na Spika kuamini kuwa Mbowe alianguka baada ya kulewa Lwakatare amesema wabunge wote ni " walevi" hivyo yeye asingependa kuzungumzia habari za mitaani ambazo hazina uhakika bali anawasihi watanzania wasubiri ripoti ya vyombo vya uchunguzi.

Maendeleo hayana vyama!
Mimi Namshauri Rwakatare arudi tu Chadema , anafaaa kuja kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee , aache hasira ......juzi nilimuona namna pale bungeni alivyokua anakosa raha mbowe alivokua anatukanwa na watoto kwa kuchochewa na spika ....hata spika akitaka kumchokonoa yeye naye aseme ....alimuita kumpa muda kabla hoja haijahitimishwa na mmassy , " mh rwakatare karibu na wewe utuambie ...." huku akiwa ameshika tama alikataa kuongea kitu .....na hata alipotoka nje pia alionekana mwenye mawazo sana .......ni vema kama alienda hadi kumsindikiza ni vema wayamalize wazeeke vizuri .
 
Back
Top Bottom