johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivi kuna polisi ambaye walau alipata div. IV ya mwanzoRipoti ipi tena wakati ilishatoka. Na inaonyesha muheshimiwa alikuwa kapiga vitu vya Kitwanga.
Hivi kuna polisi ambaye walau alipata div. IV ya mwanzo
Hahahaaaa........ kwamba ukilewa chakari huwezi kuvamiwa!!Ile report imejaa Usanii na Upotoshaji MKUBWA. Polisi wanasema Majirani hawakusikia kelele za mtu kuvamiwa/ kushambuliwa na Mhe. alikuwa amelewa CHAKARI!
Hapa hakuna weledi wowote ulotumika zaidi ya maoni ya Wabunge wa CCM Bungeni
Kuwa chakari haiwezi kuwa ndiyo kigezo Cha mtu KUUMIA kwa kuanguka. Je, Raia hawezi kushambuliwa akiwa chakari?
Lakini pia K Polisi hawajatueleza Mhe. Mbowe alikuwa amekunywa aina gani ya kilevi? Je, haiwezekani akawa akitiliwa kilevi Maalumu(madawa ya usingizi au kulevya)?
Mbona Mzee Mangula walisema kanyweshwa SUMU na mpaka sasa hawajatuambia Ni sumu gani na Nani alimwekea kwenye chakula au kinywaji?
Hahahaaaa........ kwamba ukilewa chakari huwezi kuvamiwa!!
ukiona hivi ujue kishaona dalili za upande huo mwingine hazimpi matumaini yoyote.Akizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na luninga ya Star mbunge wa Bukoba mjini mh Lwakatare amesema Mbowe ni rafiki yake mkubwa na hata juzi alimsindikiza hadi Air port wakati anahamishiwa Dsm kwa matibabu.
Kuhusu wabunge wa CCM na Spika kuamini kuwa Mbowe alianguka baada ya kulewa Lwakatare amesema wabunge wote ni " walevi" hivyo yeye asingependa kuzungumzia habari za mitaani ambazo hazina uhakika bali anawasihi watanzania wasubiri ripoti ya vyombo vya uchunguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaha acha libaki hivyo hivyoKumbe ni nani.? RPC Dodoma!
Hakuna.Hivi kuna polisi ambaye walau alipata div. IV ya mwanzo
Yeye ameshsstaafu ubunge ...... Anasema nyie ndio mlimdanganya Mbowe kwamba Lwakatare anataka kumpora uKUB!ukiona hivi ujue kishaona dalili za upande huo mwingine hazimpi matumaini yoyote.
Kwahiyo unategemea nani?siwaamini wanasiasa na sintokaa niwategemee
Mungu wa mbinguniKwahiyo unategemea nani?
HahahahaLabda keshakuwa concubine wa Ndugai![emoji23][emoji23]
nyie ndiyo nani?Yeye ameshsstaafu ubunge ...... Anasema nyie ndio mlimdanganya Mbowe kwamba Lwakatare anataka kumpora uKUB!