Mbunge Lwakatare: Hakuna mbunge asiyelewa, suala la Mbowe tusitie chumvi tusubiri ripoti ya vyombo vya uchunguzi

Ile ripoti ya Gilles Muroto imejaa ushambenga, yaani Joyce Mukya katajwa mara nyingi kuliko Mbowe ambaye ni muhanga wa tukio. Jamaa wana hila kama za 'nyumba ndogo'.
 
Issue si ulevi wa Mbowe bali ni kuteleza na kuanguka kwa ulevi wake wa Faru John halafu anasingizia eti kavamiwa na kupigwa
 
Why viongozi wetu ni walevi na wanajisikia kusema ni wakevi kwa wapiga kura wao . Kunywa ni lazima mtu uwe mlevi?
 
Kuhusu majirani kuto kusikia kelele kuna Waziri wa Nigeria Dikko aliwahi kuibiwa huko London na kufichwa kwenye box na kutaka kusafirishwa kurudishwa Nigeria kama fridge mpaka alipo gundulika box likiwa Kiwanja cha ndege nyie ccm acheni janja ya nyani mambo ya kizamani hayo
 
All Policemen are Form IV failures!!! The Majority of them ni Div IV za Mwisho kabisa au Div 0!!!🤣🤣
Hapa America bunge linaenda kuongeza mda wa matunzo ya upolisi toka miezi 6 hadi miaka miwili ili Polisi wapate mafunzo bora na kama Polisi hajasoma atasoma humo humo automatic, huko nyumbani Tanzania napo Bunge liongeze mda wa kupata mafunzo ya upolisi kule ccp Moshi toka miezi 5 hadi miaka 3 wapate kujifunza hata English vizuri masomo ya Sheria haki za binadamu, wale darasa la saba, form 4 div 4 wote wakisoma ccp miaka 3 wakimaliza wanakuwa Polisi wazuri na wasomi wa Sheria na haki za binadamu, ni mda huu CCM waanze kulifanyia kazi iongezwe bajeti ya mafunzo na pia vyuo vya Polisi viongezwe zaidi kuwepo na chuo kikuu cha upolisi pia.
 
All Policemen are Form IV failures!!! The Majority of them ni Div IV za Mwisho kabisa au Div 0!!!🤣🤣
Mafunzo ya Polisi sasa yawe miaka 3 ili Polisi wapate Elimu wakiwa kwenye mafunzo ya upolisi, hapo tutawapata Polisi wazuri wenye kujali haki za binadamu wasiopenda kufanya uonevu kwa Raia
 
Majirani walikuwa wamelala isitoshe washambuliaji walifanya kitendo kwa kasi na walivaa mask usikute hata ni jarani zake humo humo hao hao wabunge wakorofi akina Lijuakali na Msukuma ndiyo walienda kumpiga mbowe, inaonekana hata washambuliaji siyo watu wenye mafunzo na nguvu nyingi hivyo kupelekea kuwa na uwezekano wa shambulio kufanywa na lijuakali na wenzake kisha wakatokomea majumbani mwao
 
Waliopiga mbowe usiku ule ni akina lijuakali na wenzake waliofukuzwa chadema, walimfuatilia toka akiwa huko alipokuwa na wakajua akifika pale atapanda ngazi wakamlia taiming wakampiga na kumsukumiza kwenye ngazi, shambulio linaonyesha kufanywa kwa uoga tena haraka haraka na watu wasio na uzoefu wa uhalifu, kwa uchunguzi wa awali washukiwa wakuu ni lijuakali na wenzake walivaa mask wakafanya huo uhuni ndiyo maana Bungeni wakawa busy kupotosha ili watanzania waamini mbowe alidondoka kwenye ngazi
 
Aliyempiga mbowe ni lijuakali na Msukuma na mwanzao mmoja ambao walivaa mask asiwajue, ukichunguza shambulio unagundua lilifanywa na watu wasio na mafunzo ya uhalifu wala nguvu nyingi na pia walishambulia kwa hataka na uoga mwingi wakakimbia wasijulikane lakini sasa FBI waliopo ubalozi wa marekani walituma wapelelezi kwa siri huko Dodoma tayari wamewabaini washambuliaji wote.
 
kwa huu ushahidi, kwa nin usiende kuisadia police mkuu?
 
Hii ripoti ya madaktari wa Agha Khan. Ikubalini makamanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…