Usisahau vyeti vyao huko hakukufanyika uhakiki ndio maana wanaisaidia CCM kwa nguvu zoteAll Policemen are Form IV failures!!! The Majority of them ni Div IV za Mwisho kabisa au Div 0!!![emoji1787][emoji1787]
KweliIle report imejaa Usanii na Upotoshaji MKUBWA. Polisi wanasema Majirani hawakusikia kelele za mtu kuvamiwa/ kushambuliwa na Mhe. alikuwa amelewa CHAKARI!
Hapa hakuna weledi wowote ulotumika zaidi ya maoni ya Wabunge wa CCM Bungeni
Kuwa chakari haiwezi kuwa ndiyo kigezo Cha mtu KUUMIA kwa kuanguka. Je, Raia hawezi kushambuliwa akiwa chakari?
Lakini pia K Polisi hawajatueleza Mhe. Mbowe alikuwa amekunywa aina gani ya kilevi? Je, haiwezekani akawa akitiliwa kilevi Maalumu(madawa ya usingizi au kulevya)?
Mbona Mzee Mangula walisema kanyweshwa SUMU na mpaka sasa hawajatuambia Ni sumu gani na Nani alimwekea kwenye chakula au kinywaji?
Saa bovu hilo.Hivi john sikuhizi akili zimeanza kujipanga upya eeh?
Hahahaaaa....... Umemsikia Lwakatare lakini?!Saa bovu hilo.
Ni Nani huyo? SimfahamuHahahaaaa....... Umemsikia Lwakatare lakini?!
Mbunge wa Chadema Bukoba mjini!Ni Nani huyo? Simfahamu
Hayupo hata mmoja.Hivi kuna polisi ambaye walau alipata div. IV ya mwanzo
Acha wivu. Kama vipi na wewe tupeleke jina lako kwa mwenyekitiJoyce Mukya amepita bila ya kupingwa kwny viti maalum Bunge la 2020~2025
Aaghh ndio akili zenu hiziKweli kabsaaaa...View attachment 1477876
Hakuna.Hivi kuna polisi ambaye walau alipata div. IV ya mwanzo
Alaa kumbe.Mbunge wa Chadema Bukoba mjini!
Hahahaaaa....... CUF ni chama kikubwa!Alaa kumbe.
John siku izi unareflect jina lakoAkizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na luninga ya Star mbunge wa Bukoba mjini mh Lwakatare amesema Mbowe ni rafiki yake mkubwa na hata juzi alimsindikiza hadi Air port wakati anahamishiwa Dsm kwa matibabu.
Kuhusu wabunge wa CCM na Spika kuamini kuwa Mbowe alianguka baada ya kulewa Lwakatare amesema wabunge wote ni " walevi" hivyo yeye asingependa kuzungumzia habari za mitaani ambazo hazina uhakika bali anawasihi watanzania wasubiri ripoti ya vyombo vya uchunguzi.
Maendeleo hayana vyama!
Mkapa naye enzi zake tena akiwa ikulu aliwahi kukumbwa na kazia hizi,watu wakasema kichapo kutoka kwa waifu wengine mara ulanzi ndio chanzo n.kIssue si ulevi wa Mbowe bali ni kuteleza na kuanguka kwa ulevi wake wa Faru John halafu anasingizia eti kavamiwa na kupigwa
Akichorwa Mwenyekiti wenu mnatoka povu hadi unataka kujua watuHujakosea mkuu ndio zetuView attachment 1478754
Mimi Namshauri Rwakatare arudi tu Chadema , anafaaa kuja kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee , aache hasira ......juzi nilimuona namna pale bungeni alivyokua anakosa raha mbowe alivokua anatukanwa na watoto kwa kuchochewa na spika ....hata spika akitaka kumchokonoa yeye naye aseme ....alimuita kumpa muda kabla hoja haijahitimishwa na mmassy , " mh rwakatare karibu na wewe utuambie ...." huku akiwa ameshika tama alikataa kuongea kitu .....na hata alipotoka nje pia alionekana mwenye mawazo sana .......ni vema kama alienda hadi kumsindikiza ni vema wayamalize wazeeke vizuri .Akizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na luninga ya Star mbunge wa Bukoba mjini mh Lwakatare amesema Mbowe ni rafiki yake mkubwa na hata juzi alimsindikiza hadi Air port wakati anahamishiwa Dsm kwa matibabu.
Kuhusu wabunge wa CCM na Spika kuamini kuwa Mbowe alianguka baada ya kulewa Lwakatare amesema wabunge wote ni " walevi" hivyo yeye asingependa kuzungumzia habari za mitaani ambazo hazina uhakika bali anawasihi watanzania wasubiri ripoti ya vyombo vya uchunguzi.
Maendeleo hayana vyama!
wengi sana! kuna wenye PhD zao huko na masters za kumwaga! hizo bachelor ni za kumimina!Hivi kuna polisi ambaye walau alipata div. IV ya mwanzo
Ndugu yangu hao ni wale wa enzi ya kuchukua watoto wa line! zama za 1980'sAll Policemen are Form IV failures!!! The Majority of them ni Div IV za Mwisho kabisa au Div 0!!!🤣🤣