PreGE2025 Mbunge Mabula agawa Jezi kwa Timu 8 Nyamagana

PreGE2025 Mbunge Mabula agawa Jezi kwa Timu 8 Nyamagana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mgeni rasmi kwa niaba ya Mhe. Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Maxwell Stanslaus akiongea kwenye hafla ya ugawaji wa jezi kwa timu 8 zilizofanikiwa kutinga hatua ya Mabula Super 8 Ligi ya Wilaya ya Nyamagana.

Huu ni mwaka wa 10 mtawalia Mhe Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Stanslaus Mabula anadhamini ligi ya Wilaya ya Nyamagana kuanzia jezi hadi zawadi kwa washindi.

 
Huu ndiyo msimu wa kuwadanganya wananchi wajinga kupitia hizo jezi, mipira, mitungi ya gesi, kofia, fulana, vitenge, vilemba, kanga, chakula, elfu 5, nk. Baada yapo wanapotea kwa miaka 5 mingine.
 
Hawa walishaona watu ni wajinga walisha wagawa kwa makundi ipo hivi vijana wanaanzishiwa ligi uchwara, watu wazima wanawagawia sare na hela kidogo,wazee wanapewa sare
 
Back
Top Bottom