Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Status
Not open for further replies.
Vijana wa Lumumba hamuishiwi vituko asee, Leo Slaa mnamuita Mzalendo??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Upinzani unarudi miaka 20 ulikotoka. Inauma sana kuona tunaendelea kushabikia viongozi wabovu ambao wako tayari kwenda ikulu kwa "gharama" yoyote ....Chadema hii si ile tena ....
 
Vijana wa Lumumba hamuishiwi vituko asee, Leo Slaa mnamuita Mzalendo??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha hahaha aisee...maajabu ya dunia...leo babu slaa ni lulu ndani ya magamba
 
Upinzan bwanaaaaaaaa mechi zao bado ni zamchangani cn hata kama ningekuwa mm ningebwaga manyanga kutokana na vt vinavyofanyika kwenye chama nyie wenyewe bungeni mlikuwa mnasema hanatakiwa kiongozi mwenye maamuzi magumu leo mnabinuka kama kinyonya
 
CDM tunamikakati mikubwa sana, hataaondoke nani,bado wanachama tutaisimamia demokrasia makini ndani ya nchi yetu japo madikiteta uchwara wanataka kuusambaratisha
 
Umetumia maneno mengi sana bila sababu, nijuavyo ni kwamba hicho chama chao ni cha demokrasia kinaruhusu watu kujiunga na kujitoa kwa mujibu wa sheria za nchi.
 
aachie tu nafasi awapishe wengine mbona wengine wanateuliwa kuwa maDC na DEO bado wanaomba uteuzi wao utenguliwa mara moja sembuse hawa wa kuchanguliwa kwa box.japo na jua ni propaganda za lumumba kuelekea july23
 
Mie hata akijitoa Mboe toka ndani ya CHADEMA,Sitateteleka as long as Lowasa yupo ndani ya CHADEMA
Masikini chadema yangu inapitia njia ya kakazake akina. ... Hata hacha life tu limetusaliti sana. Utatuleteaje mwizi awe "Rais" wetu? Eti ameondolewa dhambi!!!
Mbowe Mbowe Mbowe nitakuchukia milele
 
Hata kwa hao waliotoka zilianza kama tetesi kisha ikawa kweli,hivyo tetesi hizi si za kuzipuuza.
 

Utumbo
 
Huyo si mwingine bali ni Mnyika
 
Huyo si mwingine bali ni Mnyika. Ila awe makini wasije wakamuua.
 
Siku ambayo mfalme Mbowe alibadili gia angani na kukumbatia mafisadi ,hiyo siku ndio ulikuwa mwisho wa chadema
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…