Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Status
Not open for further replies.
CHAMA hakina mtu mmoja,chama ni watu,wapo wengi tu,akimwaga manyanga hakuna athari.
 
Siatoke tu kwani yeye nani bwana.chadema itaendelea kuwepo tu.na jimbo litawakilishwa na wengine.wala isiwe taabu kaondoka zito sembuse yeye.Asitutishe.
 
Wafia Tanzania wanazidi kuongezeka. Mnyika tunakusubiri kwa hamu.
 
Ni haki yake ya msingi kufanya maamuzi yoyote anayoona ni sahihi kwake....ili mradi tu atakuwa havunji sheria!

Personally, huyo bwana unayemrefer (ni Mnyika of course) ni miongoni mwa wanasiasa wachache vijana niliokuwa nawaheshimu sana. Lakini tangu kukaribia uchaguzi mwaka jana na baada ya uchaguzi namuona kama amepoteza muelekeo kabisa. He must rediscover, restrategise and revitalise himself...least historia ndio itakayo mhukumu, in any way!!
 
Wasalaam wana jamvi!

Niendelee kuwatakia sikukuu njema ya amani na furaha miongoni mwenu!

Wana jamvi kama mtakumbuka siasa za tanzania zilitikiswa mwaka jana kama mara tatu hivi
Mara ya kwanza ilikuwa ni mtuhumiwa wa ufisadi kuhami upande mwingine..wengi hawakutegemea kama atapokelewa.

Mara ya pili ilikuwa kwa nguli wa siasa na Mzalendo Dr Slaa kumwaga manyanga chanzo ikiwa ni kupinga ujio wa mtuhumiwa wa ufisadi kwenye chama chao na hakuwa tayari kushiriki dhambi ya kumsafisha!

Tatu ilikuwa ni pale Prof Msomi na nguli wa uchumi alipo kataa kushiriki dhambi ya kumsafisha mtuhumiwa wa ufisadi na kuamua kumwaga manyanga!

Sasa kabla ya tarehe 24 nchi itatekwa tena na taharuki ya aina yake baada ya mbunge kijana na machachari kuvunja ukimya na kuamua kumwaga manyanga!
Taarifa zinasema mbunge huyo amekuwa kimya kwa kipindi kirefu sana na amekuwa akizushiwa anaumwa ili ionekane hiyo ni sababu kuu!

Hata hivyo amekuwa akipata wakati mgumu sana hasa pale anapo lazimishwa kutoa matamko ili ionekane yupo pamoja nao na amekuwa akikataa na kusema sitaki kuongea na kusema fulani aongee..

Jambo hili limekuwa likiwatesa sana watu wake ndani ya umoja wao na chama chao kwani ukimya wake umekuwa ukizua maswali mengi na wamejaribu kila mbinu za kumlazimisha aongee lakini wameshindwa!

Jambo la kumlazimisha aongee limekuwa likimkera sana na amekuwa akiwa sisitiza kuwa yeye amechagua kunyamaza wasi mlazimishe!

Kibaya zaidi kuna mpango wa kumlazimisha kuongea kwenye mkutano fulani tarehe 24 ambao bado haujawa confirmed! Lakini baada ya kupata habari kuwa amepangwa kuongea na kusema hataki na wasimlazimishe kwani umoja una watu wengi wa kuongea!

Sasa habari zilizopo ana mpango wa kuongea na ataongea kinacho muumiza kabla ya tarehe 24 na atamwaga manyanga na kuachana na ubunge kabisa na kwenda kusoma nje ya nchi....

Baada ya viongozi wake kupata habari hizo wanahaha kumzuia asiongee huku wakitaka kujua anataka kuongea nini na wanampango wa kuhakikisha aengei chochote na wameshambembeleza sana lakini amesimama kuwa kwenye msimamo wako kuwa ataongea kabla ya tarehe 24!

Zina fanyika kila juhudi za kunusuru tukio hilo kwani wanasema litasambaratisha umoja huo kabisa.

Lakini amesisitiza kuwa hayuko tayari kushiriki siasa za kinafiki kamwe...!

Je watafanikiwa kumzuia?
Ni nani huyo?
Ataendelea kukaa kimya?
Ni kwañini hawataki aongee?

Wana jamvi muda huongea tusubiri!

Karibuni wana jamvi!
lisemwalo lipo kama halipo linakuja...
 
Maccm mnapataga faida gani kuuharibu upinzani?? Kueni jamani. Nchi bila upinzani haiongozekiiiiiiii. Ah! Yaani mna maudhi mpaka baasi tena.
Aseme atakalo. Aondoke kesho asubuhi. Tume ya uchaguzi ipime, muda ukifika turudi chunguni apikwe mwingine. Shida yenu ni kuona hakuna upinzani tena Tz au nini?? Mbona bunge mlibaki peke yenu, mliongeza nini au mlipunguza nini??
Tulikuwa na kina Tuntemeke Sanga kwenye bunge la chama kimoja, wapinzani kweli kweli. Wakashika shilingi, bajeti ikatikisika. Wako wapi, Leo si bado tupo?
Msiogope, hakuna njia kuwa upinzani utakufa. No, ukiondoka huu utaanza mwingine, hata ccm kwa ccm.

Yaaani upinzani unajiaribu ,unajidhulumu wenyewe halafu unasingizia ccm kweli ,huo ndo unyumbu wenyewe
 
Toeni habari za kweli maana Msije jikuta mahakamani.
Wapo walio acha siasa wanao ha kurudi lakini wakafukuzwa kabisa
 
mawaziri wakuu wa nchi kubwa kama UK wanajiuzuru kwa swala la kura tu wakati hapa hata wauawe mkoa mzima kiongozi ndo anapeta? Huyo kijana akija akasea akaonge akamwaga manyanga, awe wa chanma chochote anajisumbua labda apewe kibali cha kuandamana na kumwaga pilipili usoni kwa watu basi. Tanzania haina siasa ya upinzani sababu upinzani bado haujakubalika upo kupatia misaada toka kwa nchi wahisani basiiiiii.
 
Wasalaam wana jamvi!

Niendelee kuwatakia sikukuu njema ya amani na furaha miongoni mwenu!

Wana jamvi kama mtakumbuka siasa za tanzania zilitikiswa mwaka jana kama mara tatu hivi
Mara ya kwanza ilikuwa ni mtuhumiwa wa ufisadi kuhami upande mwingine..wengi hawakutegemea kama atapokelewa.

Mara ya pili ilikuwa kwa nguli wa siasa na Mzalendo Dr Slaa kumwaga manyanga chanzo ikiwa ni kupinga ujio wa mtuhumiwa wa ufisadi kwenye chama chao na hakuwa tayari kushiriki dhambi ya kumsafisha!

Tatu ilikuwa ni pale Prof Msomi na nguli wa uchumi alipo kataa kushiriki dhambi ya kumsafisha mtuhumiwa wa ufisadi na kuamua kumwaga manyanga!

Sasa kabla ya tarehe 24 nchi itatekwa tena na taharuki ya aina yake baada ya mbunge kijana na machachari kuvunja ukimya na kuamua kumwaga manyanga!
Taarifa zinasema mbunge huyo amekuwa kimya kwa kipindi kirefu sana na amekuwa akizushiwa anaumwa ili ionekane hiyo ni sababu kuu!

Hata hivyo amekuwa akipata wakati mgumu sana hasa pale anapo lazimishwa kutoa matamko ili ionekane yupo pamoja nao na amekuwa akikataa na kusema sitaki kuongea na kusema fulani aongee..

Jambo hili limekuwa likiwatesa sana watu wake ndani ya umoja wao na chama chao kwani ukimya wake umekuwa ukizua maswali mengi na wamejaribu kila mbinu za kumlazimisha aongee lakini wameshindwa!

Jambo la kumlazimisha aongee limekuwa likimkera sana na amekuwa akiwa sisitiza kuwa yeye amechagua kunyamaza wasi mlazimishe!

Kibaya zaidi kuna mpango wa kumlazimisha kuongea kwenye mkutano fulani tarehe 24 ambao bado haujawa confirmed! Lakini baada ya kupata habari kuwa amepangwa kuongea na kusema hataki na wasimlazimishe kwani umoja una watu wengi wa kuongea!

Sasa habari zilizopo ana mpango wa kuongea na ataongea kinacho muumiza kabla ya tarehe 24 na atamwaga manyanga na kuachana na ubunge kabisa na kwenda kusoma nje ya nchi....

Baada ya viongozi wake kupata habari hizo wanahaha kumzuia asiongee huku wakitaka kujua anataka kuongea nini na wanampango wa kuhakikisha aengei chochote na wameshambembeleza sana lakini amesimama kuwa kwenye msimamo wako kuwa ataongea kabla ya tarehe 24!

Zina fanyika kila juhudi za kunusuru tukio hilo kwani wanasema litasambaratisha umoja huo kabisa.

Lakini amesisitiza kuwa hayuko tayari kushiriki siasa za kinafiki kamwe...!

Je watafanikiwa kumzuia?
Ni nani huyo?
Ataendelea kukaa kimya?
Ni kwañini hawataki aongee?

Wana jamvi muda huongea tusubiri!

Karibuni wana jamvi!

Hizi ni tetesi zenye mwelekeo unaomlenga JJMnyika kwa asilimia 99.9, iwe isiwe JJM aondoke kwani hatakuwa wa kwanza kuhama chama, EL aliyekuwa mtu mzito zaidi ya JJM alihama CCM lakini CCM bado ipo, Dr Mihogo alihama CDM kwa mbwembwe nyingi lakini CDM bado iko pale pale, na vivyo hivyo kwa Prof Lipumba na CUF bado ipo, tutanusurika na kusonga
mbele kama ilivyokuwa baada ya ZZK
kufukuzwa CDM, mapambano yataendelea mpaka kieleweke, mleta mada kumbuka WATU WATAKUJA NA KUPITA lakini TAASISI ZITABAKI NA KUENDELEZA MALENGO KILIYOJIWEKEA.
 
kitakacho ua upinzani nchini ni pale ccm itaboresha maisha ya watanzania lakini si kwa mnyika kuachana na cdm,ni mangapi chadema imemfanyia mema mnyika mpaka sasa aione haifai kama amefikia maamuzi hayo tunamtakia heri, lakini ajue kuwa mamilioni ya kura tulizoipa chadema sio kwamba tulizitoa kwasababu sijui eti mnyika yupo chadema au mbowe ni msafi au wapiganaji wa chadema wote kwa ujumla ni watu wasio na kashifa hapana tulitoa kura kwa chadema kwasababu watu wamechoka na ccm,
Hivyo kama umeamua kwa utashi wako kuondoka ni heri na sie watanzania maskini tutaendelea kutoipa kura ccm mpaka Mungu atakaposikia kilio chetu.
Wasalam Mnyika
 
asante ndug yang tupo pamoja
 
Wasalaam wana jamvi!

Niendelee kuwatakia sikukuu njema ya amani na furaha miongoni mwenu!

Wana jamvi kama mtakumbuka siasa za tanzania zilitikiswa mwaka jana kama mara tatu hivi
Mara ya kwanza ilikuwa ni mtuhumiwa wa ufisadi kuhami upande mwingine..wengi hawakutegemea kama atapokelewa.

Mara ya pili ilikuwa kwa nguli wa siasa na Mzalendo Dr Slaa kumwaga manyanga chanzo ikiwa ni kupinga ujio wa mtuhumiwa wa ufisadi kwenye chama chao na hakuwa tayari kushiriki dhambi ya kumsafisha!

Tatu ilikuwa ni pale Prof Msomi na nguli wa uchumi alipo kataa kushiriki dhambi ya kumsafisha mtuhumiwa wa ufisadi na kuamua kumwaga manyanga!

Sasa kabla ya tarehe 24 nchi itatekwa tena na taharuki ya aina yake baada ya mbunge kijana na machachari kuvunja ukimya na kuamua kumwaga manyanga!
Taarifa zinasema mbunge huyo amekuwa kimya kwa kipindi kirefu sana na amekuwa akizushiwa anaumwa ili ionekane hiyo ni sababu kuu!

Hata hivyo amekuwa akipata wakati mgumu sana hasa pale anapo lazimishwa kutoa matamko ili ionekane yupo pamoja nao na amekuwa akikataa na kusema sitaki kuongea na kusema fulani aongee..

Jambo hili limekuwa likiwatesa sana watu wake ndani ya umoja wao na chama chao kwani ukimya wake umekuwa ukizua maswali mengi na wamejaribu kila mbinu za kumlazimisha aongee lakini wameshindwa!

Jambo la kumlazimisha aongee limekuwa likimkera sana na amekuwa akiwa sisitiza kuwa yeye amechagua kunyamaza wasi mlazimishe!

Kibaya zaidi kuna mpango wa kumlazimisha kuongea kwenye mkutano fulani tarehe 24 ambao bado haujawa confirmed! Lakini baada ya kupata habari kuwa amepangwa kuongea na kusema hataki na wasimlazimishe kwani umoja una watu wengi wa kuongea!

Sasa habari zilizopo ana mpango wa kuongea na ataongea kinacho muumiza kabla ya tarehe 24 na atamwaga manyanga na kuachana na ubunge kabisa na kwenda kusoma nje ya nchi....

Baada ya viongozi wake kupata habari hizo wanahaha kumzuia asiongee huku wakitaka kujua anataka kuongea nini na wanampango wa kuhakikisha aengei chochote na wameshambembeleza sana lakini amesimama kuwa kwenye msimamo wako kuwa ataongea kabla ya tarehe 24!

Zina fanyika kila juhudi za kunusuru tukio hilo kwani wanasema litasambaratisha umoja huo kabisa.

Lakini amesisitiza kuwa hayuko tayari kushiriki siasa za kinafiki kamwe...!

Je watafanikiwa kumzuia?
Ni nani huyo?
Ataendelea kukaa kimya?
Ni kwañini hawataki aongee?

Wana jamvi muda huongea tusubiri!

Karibuni wana jamvi!

Hata Dr.Slaa ilianza kama tetesi mkapiga kelele sana kuwa hawezi kuondoka ila siku alipoondoka mkaja na ngonjera kuwa kanunuliwa......hata huyu leo ipo kama tetesi siku yakitimia mtaanza kumtukana humu ndani.......!!!

Kuondka kwake ni fursa kwa watu wengine. Kuibuka na kichikua nafasi yake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom