Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Status
Not open for further replies.
Masikini chadema yangu inapitia njia ya kakazake akina. ... Hata hacha life tu limetusaliti sana. Utatuleteaje mwizi awe "Rais" wetu? Eti ameondolewa dhambi!!!
Mbowe Mbowe Mbowe nitakuchukia milele
Tangu lini ulimpenda Mbowe wewe acha unafiki
 

Acha ujuha wewe angekua ni kubwaga manyanga asingegombea na pili huyu mtu ni mgonjwa msimtilie maneno mdomoni,maana hata nyumbani kwake hayupo sasa wewe nyau unataka kumlisha pumba kwani yeye kuku
 
Tunaijua faida ya kuwa na upinzani,hatutaki y uanguke hata kwavipi!! Hata atoke nani upinzani utabaki na tutaupa sapoti. Hatusubiri mtu tunasubiri maendeleo huyomtu afanyeshapu
 
Siku ambayo mfalme Mbowe alibadili gia angani na kukumbatia mafisadi ,hiyo siku ndio ulikuwa mwisho wa chadema
ndo mtazamo wako ulipoishia.umeshindwa kuona zaidi ya hapo ulipoona
 

Watoto mliozaliwa kwa kupitia mlango wa nyuma mna akili uchwara sana. Kama aliondoka Dr. Mihogo na hakuna hata nywele ya mtu ilipungua sembuse hizi ramli zako unazopiga!!? Majipu uchwara mtapiga sana push up vijibwa nyie.
 

Kama Nyerere alijufa na watu bado tupo sembuse vijana
 
Alilaaniwa na nani na kwa sababu gani? Hivi Lowassa kawafanyia nini kibaya?
Hakuna kiongozi wa kitaifa CCM aliyemsafi.
RICHMOND pekee inatosha kumfanya asipokelewe CHADEMA.
 
ngoja 2019 ifike, kwa kuwa hapo kati 2017_2018, Edo atakabithiwa chama, hapo ndo mtaona mengi, time is all of things
 
Kwanishida iko wapi akiondokamtu chamani ?aliondoka babu enzi zile sembuse yeye sasa ivi kachelewa sana maana at this time hamna jipya maana ata angekuwepo haliingekua ileile ye kama kachoka kuongea basi akasome na afanye mambo mengine lakini yasijekua ya lipumba.Wala hata aibisha chama wala mtu atajiaibisha mwenyewe.
 
Muacheni Jonh Mnyika apumzike. Ndiye mbunge alitoa hoja nyingi bungeni lakini hamkumsikiliza, leo amekuwa lulu! Muacheni Kamanda mpinga mafisadi apumzike.
 
Chochote utakachoamua ni sahihi kama ni utashi wako binafsi! Fewer politicians I admire in TZ ni pamoja na Mnyika. Never regret! Simamia maamuzi yako, remember sometimes the word sorry signifies foolishness no matter you have uttered or meandered. Haipendezi ikatokea kama ya prof.......!
 
Acha ujuha wewe angekua ni kubwaga manyanga asingegombea na pili huyu mtu ni mgonjwa msimtilie maneno mdomoni,maana hata nyumbani kwake hayupo sasa wewe nyau unataka kumlisha pumba kwani yeye kuku
Hata Dr.Slaa ilianza kama tetesi mkapiga kelele sana kuwa hawezi kuondoka ila siku alipoondoka mkaja na ngonjera kuwa kanunuliwa......hata huyu leo ipo kama tetesi siku yakitimia mtaanza kumtukana humu ndani.......!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…