Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

Status
Not open for further replies.
Yaani Mimi naamini kuna chama fulani badala ya kuconcetrate na kuleta maendeleo kwa watanzania, wao wamebaki kufanya kila jitihada ya kumyofoa mbunge mmoja baada ya mwingine kwenye vyama fulani....
Kila la kheri katika jitihada zenu
 

Kiki inatafutwa kwa gharama yoyote! Mtoa mada kaamua kutoka kivingine baada ya single a Chura kufungiwa....

Subirini mziki wa BAVICHA tarehe 23 julai wakati mtakapovunja amri ya jeshi la polisi ya kukataza miksanyiko ya vyama vya kisiasa...
 
Naomba namba ya cm ya mh mbunge pekee anayejielewa wa ukawa mbunge wa Kibamba
 
Swala lakuacha ubunge halikubaliki na ninaimaninae kuwa nimzalendo hswezi Fanya hivo, ila KIJANA ninamuunga mkono 100% yule nimtu anaejitambua
 
Huuu ni mkakati wa kuwaondoa watu kwenye Hoja za teuzi za "Mwendokasi" zilizojaaa sintofahamu na ukada!Sasa watu wataingia kichwakichwa hapa kumbe watu wanataka kuficha hiyo "duplication" ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya,DED na DAS....Aibu tupu!!Urais sio lelemamaa
 
Mhh, mwaka huu tutasikia kila aina ya maneno
 
tusuburi tuone atakavyoongea wakuu, muda utaongea maana hata mimi hapa sijajua ni nani anayeongelewa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…