Mbunge Magige Bega kwa Bega na Ujenzi wa UWT Mkoa wa Arusha

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Catherine Magige ameshiriki kwenye Baraza la UWT Wilaya ya Monduli ambapo amechangia vifaa vya ujenzi ikiwemo Mifuko ya Saruji na Mashine ya kuchapisha (Photocopy Machine), kwaajili ya kukamilisha ukarabati wa Ofisi ya Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Monduli.

Pia, Mhe. Catherine Magige akiwa Wilaya ya Monduli ametoa vitendea kazi vikiwemo Mitungi ya gesi na Miamvuli kwa wakina Mama wafanyabiashara wadogo wadogo katika soko la Monduli Mjini

Vilevile, Mhe. Catherine Magige amezungumza kwa njia ya simu na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso kuhusu changamoto ya Maji ndani ya Monduli huku Waziri wa Maji akiahidi kuitatua changamoto hiyo na kumpongeza Catherine Magige kwa ufuatiliaji mzuri wa utekelezaji wa miradi ya Maji.

Aidha, Catherine Magige ameshiriki kwenye Baraza Maalum la UWT Wilaya ya Arumeru ambapo ametoa mitungi ya gesi kwa wajumbe wote wa Baraza la UWT Wilaya ya Arumeru pia amechangia vifaa vya ujenzi kwaajili ya ukarabati wa Ofisi ya UWT Wiliyani hapo pia ametoa Mashine ya kuchapisha (Photocopy Machine) kwaajili ya Ofisi hiyo na kutembelea soko la Sanawari ya juu na kukutana na wanawake wajasiriamali na kuwapatia miamvuli kwaajili ya biashara.

 
Acha kutumalizia MB zetu kwa mambo ya KIJINGA,nyuzi nyingine za KICHOKO sana
 
Nani huwa anakula hii manzi ?

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Inatuhusu nini sisi watanzania?
 
Samahani wakuu, hivi Lowasa yupo wapi skuhizi..πŸ™„
Na hata Kagasheki ameadimika sana miaka ya hapa karibuni...😊
Sema Nape anaonekana kwambaali kwenye koridoz za Lumumba...πŸ€—
Ila mdogowake Shabiby skuizi nae simuoni hapa Dodoma..😎
Naomba kuwasilisha..
 
Huyu analitaka Jimbo la Monduli. Mboo za 2025
 
Waliokula wengi wametangulia mbele ya haki amebaki mzazi mwenzie mdogo wake shabiby, khamis kagasheki aliyewahi kumuoa kwa muda na nappe ambaye alikula kisera. Ila kuna vijana wanapiga kiaiana. Ila ushauri VAAA.
Unataka kuniambia huyu mbunge ana HIVAIDS? Kwa nini unahimiza condom?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…