Pre GE2025 Mbunge Maimuna Pathan agawa mitungi ya gesi kwa wanawake wilaya ya Liwale

Pre GE2025 Mbunge Maimuna Pathan agawa mitungi ya gesi kwa wanawake wilaya ya Liwale

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Lindi kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Maimuna Pathan, amegawa Mitungi ya Gesi kwa Wanawake wa Wilaya ya Liwale kwa kuunga mkono juhudi za Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ya kutumia Nishati safi kupikia.

Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Snapinst.app_483153389_18340481668156445_2028209481229718754_n_1080.jpg


Akiwa katika ziara ya kikazi Wilaya ya Liwale Mbunge Pathan alikabidhi mitungi ya Gesi 68 ikiwa Sehemu ya Kuunga Mkono Jitihada za Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Katika kuhakikisha Watanzania wanatumia Nishati safi yakupikia na kuondokana na Matumizi ya Mkaa au Kuni ambapo kwa kiasi kikubwa yanaharibu Uoto wa Asili au uharibifu mkubwa wa Maliasili.

Pathan aliwaomba Wanawake na viongozi mbalimbali kuendelea kuhamasisha matumizi ya Nishati safi ya kupikia kwa wananchi wote wa wilaya ya Liwale na Tanzania kwa ujumla.

Pia soma
 
Back
Top Bottom